Paroles de Niseme nawe
Paroles de Niseme nawe Par OTILE BROWN
Waniona nakuangalia,
Na tayari ushajua kuwa naitaka, yo
Mimi ni mgeni huku na ata nilikotoka,
Pia sijawahi ona kama yo,
Nacho kiuno chako, unavyokizungusha roho yangu,
Unairusha eh, unairusha oh mama,
Mbona kuvava la mvuvi,
Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
Njoo udensi na mtoto mjini
Kuvava la mvuvi,
Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
Njoo na mtoto wa mjini
PRE-CHORUS:
Eti ukisonga nami ntasonga,
Hutaki niguse, nayashakoma,
Usiwe na wasiwasi ma,
Mimi nitafuata na unavyofanya
Eti ukisonga nami ntasonga,
Nami ukinipa pia sitakataa
Usiwe na wasiwasi ma,
Mimi nitafuta unavyofanya
Mimi nataka nipakate 'si yake
Pakate 'si yake eh,
Pakate 'si yake,
Mpaka jua lichomoze
Ila sasa limetoka sitojua, eeh x2
Mimi na wewe, eh eh eh x2
Mimi nahisi kama kuna sababu tunakutana,
Mbona tunalingana,
Mambo mengi tunalingana nawe,
Basi taratibu usinikanyage,
Nguo yangu usiichane,
Nia yangu sio mbaya,
Ninacho omba n' nafasi nikujue,
Ohh ohh.
Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
Njoo udensi na mtoto wa mjini
Uvava na mvuvi,
Haya mambo yanahitaji nyuza ya maji marefu, hauyawezi
Njoo udensi na mtoto wa mjini,
PRE-CHORUS:
Eti ukisonga nami ntasonga,
Hutaki niguse, nayashakoma,
Usiwe na wasiwasi ma,
Mimi nitafuata na unavyofanya
Eti ukisonga nami ntasonga,
Nami ukinipa pia sitakataa
Usiwe na wasiwasi ma,
Mimi nitafuta unavyofanya
[Mimi nataka nipakate 'si yake
Pakate 'si yake eh
Pakate 'si yake
Mpaka jua lichomoze
Ila sasa limetoka sitojua eeh] x2
Mimi na wewe eh ehe ehe x2
Eh nataka nikujue wewe
Mimi nataka n'kjue
Moyo wangu nikujue
Sikatae niugue we
Ecouter
A Propos de "Niseme nawe"
Plus de Lyrics de OTILE BROWN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl