NVIIRI THE STORYTELLER Fore (Forever) cover image

Paroles de Fore (Forever)

Paroles de Fore (Forever) Par NVIIRI THE STORYTELLER


Najua IG request ni kila mara
I see them turning kwa barabara 
Nikisema niko sawa I'd be a liar

Na maua wanakutumia ata nikiwa nawe
Hawa ni watu hawana haya
Vile wanakufuata si wangefuata Messiah

Wakujipendeza ni wengi  
Watu wa kununua na kuwacha change
Hawa ni watu wangependa uwe deni
Baby usikuwe deni 

Love can never be bought
Straight from the heart it can never be forced
Been there I have done it I have seen the results
Now I think that we should hope

Penzi yetu iwe forever 
Napenda unavonipendeza
Naomba penzi yetu iwe fore
Iwe fore, iwe fore, iwe forever

Penzi yetu iwe fore 
Napenda unavonipendeza
Naomba penzi yetu iwe fore
Iwe fore, iwe fore, iwe forever

Roho nimepiga duster
Roho safi roho juu
Hadi zifike chini rasta 
That's how long I will be with you

Nje kuna mahunters
These are spirits believe me
Don't let them fill your cup
Don't let them get you drunk
Drunk, drunk, drunk

Wakujipendeza ni wengi  
Watu wa kununua na kuwacha change
Hawa ni watu wangependa uwe deni
Baby usikuwe deni 

Love can never be bought
Straight from the heart it can never be forced
Been there I have done it I have seen the results
Now I think that we should hope

Penzi yetu iwe forever 
Napenda unavonipendeza
Naomba penzi yetu iwe fore
Iwe fore, iwe fore, iwe forever

Penzi yetu iwe fore 
Napenda unavonipendeza
Naomba penzi yetu iwe fore
Iwe fore, iwe fore, iwe forever

Have you seen yourself
Ata kivuli chako ni dangerous
Sura innocent, yeah yeah 
Nothing new to say 
That will make you stay
Please stay

But 

Have you seen yourself
Ata kivuli chako ni dangerous
Sura innocent, iye iye iyeee
Nothing new to say 
That will make you stay
Please stay

Penzi yetu iwe forever 
Napenda unavonipendeza
Naomba penzi yetu iwe fore
Iwe fore, iwe fore, iwe forever

Penzi yetu iwe fore 
Napenda unavonipendeza
Naomba penzi yetu iwe fore
Iwe fore, iwe fore, iwe forever

Penzi yetu iwe forever 

Ecouter

A Propos de "Fore (Forever)"

Album : Fore(Forever) (Single)
Année de Sortie : 2019
Copyright : (c) Sol Generation
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Nov 30 , 2019

Plus de Lyrics de NVIIRI THE STORYTELLER

NVIIRI THE STORYTELLER
NVIIRI THE STORYTELLER
NVIIRI THE STORYTELLER
NVIIRI THE STORYTELLER

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl