
Paroles de Mwana Wa Mubi
...
Paroles de Mwana Wa Mubi Par NVIIRI THE STORYTELLER
Ogambye tomanyi
Nani anataka bishana na mi
Good boy oba ndi mubi
Son of a gun Mwana wa mubi
Good vibes good energy
Ukisema kumeshika
I’ll be on my to you
Holiday with you
We no wasting time
We got the keys to the city
Ju Sioni mwingine kama sisi
Tunapiga kazi mashini
Tukipanda ngazi haturudi chini
We got the keys to the city
Ju Sioni mwingine kama sisi
Tunapiga kazi mashini
Tukipanda ngazi haturudi chini
Hii ni take over
Abana besobola
Na wale wanangoja left over
Hatuwachi left overs
Tunawapiga leg over
Abana besobola
Na wale wanangoja left over
Hatuwachi left over
First thing i pray for you
Nataka afungue flood gates for you
All dreams come true to you
You the only candidate i see
We don’t depend on the system
Kwetu monday to monday ni weekend
Na hapa nimezama ni deep end
Can’t you see
Hapa Nita swim
We got the keys to the city
Ju sioni mwingine kama sisi
Tunapiga kazi mashini
Tukipanda ngazi haturudi chini
We got the keys to the city
Ju sioni mwingine kama sisi
Tunapiga kazi mashini
Tukipanda ngazi haturudi chini
Hii ni take over
Abana besobola
Na wale wanangoja left over
Hatuwachi left overs
Tunawapiga leg over
Abana besobola
Na wale wanangoja left over
Hatuwachi left over
Ecouter
A Propos de "Mwana Wa Mubi"
Plus de Lyrics de NVIIRI THE STORYTELLER
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl