Paroles de Watoto wa Mungu
Paroles de Watoto wa Mungu Par NONINI
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Nisikize nikueleze
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Sisi ni watoto wa Mungu eh eh
Tusilete kizunguzungu eh eh
Sisi ni watoto wa Mungu
So fresh so clean
So fresh so clean
Sisi ni watoto wa Mungu
Tuko huku ile fresh ile clean
Fresh ile funny mr bean
Sound kama sunday morning
Wale watiaji siwaoni
God ametupa nguvu yaani
Ile poa kila day naweza kujitoa
Mizuka kwenye ngoma ni noma
Namba moja kwenye board wanaisoma
Private kama inbox
Moja kama mguu kwenye socks
Nafeel kama ile jina boss
Si tunazidi profit wanazidi loss
Ah mzeiya si movie ni real
Kwenye round table please leta deal
Smooth kama nyanya tunafanya
Naweka ukweli pale walidanganya
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Nisikize nikueleze
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Sisi ni watoto wa Mungu eh eh
Tusilete kizunguzungu eh eh
Sisi ni watoto wa Mungu
So fresh so clean
So fresh so clean
Sisi ni watoto wa Mungu
[Levis Brown]
Karibu taratibu tujirushe now
Jaribu kuharibu tukupige bao
Kuwa humble sijafunzwa kuogopa
Nala kwa jasho sina tabia za kukopa
Karibu maisha VIP deal tele
Ndo maana mi hela tele aah
Mapoz taza inatoka mbe mbele
Wenye roho mbaya ni sisi
Twala mafresh mifupa wape mafisi
Toka mitaa manyumba na maofisi
Huwezi kataa sisi ni wanajihisi
Tulijikwaa wakasema kaanguka
Juu ya jukwaa mapini yanaanguka
Masista duu machupi zinawavuka
Hapa ni kazi si masihara
Utachezea kazi au mshahara
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Nisikize nikueleze
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Sisi ni watoto wa Mungu eh eh
Tusilete kizunguzungu eh eh
Sisi ni watoto wa Mungu
So fresh so clean
So fresh so clean
Sisi ni watoto wa Mungu
Been there done that
Respect sisi ndo tunaishi
Yeah kill -- that
Tunawamaliza tu na ubishi
Kunona ni chicken kitchen
Nakwandalia tu na upishi
Huwezi kaa kwa tumbo oh
Nakutapika tu ka tapishi
Atleast vile mwanaume tu hukuwa
Kila kitu unapaswa kujua
Kila kitu si tumeshagundua
Nairobi mji wa wizi tunatenda
Matenderpreneur tu wanajijenga
Round tunakwenda round kama tour
Boss cheki vile navong'aa boss
Boss vile navo paa, paa boss
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Nisikize nikueleze
Nimejijenga kwa uchungu
Nimejijenga na upendo
Sisi ni watoto wa Mungu eh eh
Tusilete kizunguzungu eh eh
Sisi ni watoto wa Mungu
So fresh so clean
So fresh so clean
Sisi ni watoto wa Mungu
Ecouter
A Propos de "Watoto wa Mungu"
Plus de Lyrics de NONINI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl