NONINI Bye Bye cover image

Paroles de Bye Bye

Paroles de Bye Bye Par NONINI


[INTRO]
Checki it out (Border to border) East Africa
Border to border…

 Mabinti na mabwana
Tuna cheza border to border
Wanacheza border to border
Tuna cheza border to border
Kenya TZ mziki inagonga

[CHORUS]
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (Nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)

Bye bye bye, Bye bye
(Bye bye bye)
Bye bye bye, Bye bye
(AAAA)
Bye bye bye
Bye bye
(Bye bye bye) bbbabbba bye bye
Bye bye bye
Bye bye
(AAAA) bye bye

Napenda vile wasonga
Hii mdundo vle inagonga
Vile ukishika ukisonga na ngoma
Ni noma design ya msondo ngoma
Uli umbwa saa kumi na moja
Mapema ndo ulipigwa order
Sahi unatesa border border
Natural sura hupaki poda
Mziki unachezeshwa jukwaaah
Hio figure mummy ina kufaaah
Number yako na piga adi border
Me nikipiga safaricom mbonga

[CHORUS]
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (Nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)

Bye bye bye, Bye bye
(Bye bye bye)
Bye bye bye, Bye bye
(AAAA)
Bye bye bye
Bye bye
(Bye bye bye) bbbabbba bye bye
Bye bye bye
Bye bye
(AAAA) bye bye

Jina mpya skuizi unaitwa bae
Yako ngapi twende kwenye way
Maisha ishakua nani amefika bei
Hatulipi hela mziki ndo ina pay
Kafunga kanga moja kapita sebuleni
Naskia kum cheki na changanya wageni
Toto fedhulu Leo nakwama nae
Hepe miaka kumi bado napita nae
Aah Ikiwekwa genge juu kwani cheza nae
Aah Akitaka twende pembeni najificha nae

[CHORUS]
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (Nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)

Bye bye bye, Bye bye
(Bye bye bye)
Bye bye bye, Bye bye
(AAAA)
Bye bye bye
Bye bye
(Bye bye bye) bbbabbba bye bye
Bye bye bye
Bye bye
(AAAA) bye bye

Jinsi tuna imba
Watu watupenda
Tunaimba watu wana cheza
Tume kamata Tanzania
Tume kamata na Kenya
Kamata watoto
Mabinti na mabwana
Tuna cheza border to border
Wanacheza border to border
Tuna cheza border to border
Kenya TZ mziki inagonga

[CHORUS]
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)
Ikipigwa dumba uwanjani
Nacheza nawe (Nacheza nawe)
Akitaka twende kabuni
Na kwenda nawe (Nakwenda nawe)

Bye bye bye, Bye bye
(Bye bye bye)
Bye bye bye, Bye bye
(AAAA)
Bye bye bye
Bye bye
(Bye bye bye) bbbabbba bye bye
Bye bye bye
Bye bye
(AAAA) bye bye

Bye bye bye
Bye bye
(Bye bye bye)
Bye bye bye
Bye bye
(AAAA)
Bye bye bye
Bye bye
(Bye bye bye) bbbabbba bye bye
Bye bye bye
Bye bye
(AAAAH)bbbabbba bye bye

 

Ecouter

A Propos de "Bye Bye"

Album : Bye Bye (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Dec 29 , 2018

Plus de Lyrics de NONINI

NONINI
NONINI
NONINI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl