Paroles de Pinky Ponky
Paroles de Pinky Ponky Par NEW GENNY
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Manzi mgani ana whine fiti
Pinky pinky ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Piki piki ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Ah pinky ponky, namezea kwa sababu niko horny
Huyu mdenge nitatoka tu Tony
Cheki hizo boobs, niko tempted tu kutouch
Cheki hizo moves, ziko tempted tu ku-flirt
Cheki hio mass imefunikwa na skirt
Tare ke, cheki hio figure
Dem mkitu itabidi ameringa
Chubulu itabidi nimechimba
Amecome on kwa sababu mi ni simba
Piga bao kwa sababu hii ni dimba
Mi ni judge nitasoma tu katiba
Finally itakuwa hii ni mimba
Babrigam, babrigam cheki hio thutha
Vitu tam, vitu tam ninasikia kuguza
Babrigam, babrigam cheki hio thutha
Vitu tam, vitu tam ninasikia kuguza
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Manzi mgani ana whine fiti
Pinky pinky ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Piki piki ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Ah fika bei, fika bei, fika bei
Hey girl nimekam kukupee
Fika bei, fika bei, fika bei
Hey girl nimekam kukupee
Kadem ni kasafi mi nadai kukakemba
Leta uone vile baby girl mi naweza kunyeta
Kisha nikuweke kwenye meza ah
Vaa nina kindu kila kila kindu
Eitu monze mendete kila kindu
Fundamentals nawapenda kuwaweka kwa meza
Kisha baba yao ni kunyeta ah
Buda boss, piga hio pause
Shots zangu tatu mi hupiga anazima
Kuwika kuchimba kuwacha pia mimba
Ah hallap hallap piga para
Shika wako buda wacha riba
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Manzi mgani ana whine fiti
Pinky pinky ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Piki piki ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Bang bang tumekam tu kusweep
Nimekam tu ku boom
Kuwa ready kujistretch up
Sweet girl niko locked ka Eliud
Uliza wenye show wakushow mi ni spoil boy
Mi nachoma kama jua
Tafadhali toa hood this time utasweat ma
Kam through mi nataka tu wanene
Bila tu ku pose mi nataka tu waseme
On the beat kwenye floor tunakill
Hakuna cha kubeep ni lazima tuwashow
Sheria tu kwa waist nikishika we tingisha
Kama imenyc we kimbia ka Rudisha
No lie nimekubali umeweza
Ile kujishuku na ka-party kameweza
Unatwerk fine, unabaki out
Una move around kama hawker kwa street
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Hii party madem wameiva
Shika ngeus kwenye floor wacha riba
Manzi mgani ana whine fiti
Pinky pinky ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Piki piki ponky
Pinky pinky pinky, pinky pinky ponky
Ecouter
A Propos de "Pinky Ponky"
Plus de Lyrics de NEW GENNY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl