Paroles de Nilibaki na Wewe
Paroles de Nilibaki na Wewe Par NEEMA CIZUNGU
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nainua mbingu juu sana
Nakuinua Mungu juu sana
Wa moyo ninajua unaishi milele
Wa akili zangu mi najua hauna mipaka
Jana nimekuona ee Mungu
Naendelea kukuona
Nikikumbuka kipindi kile cha maisha magumu
Nikikumbuka kipindi kile mambo yalikuwa hayaendi
Nikikumbuka kipindi kile cha nyumba za kupanga
Nikikumbuka kipindi kile cha kuchekwa sana
Nikikumbuka kipindi kile cha kuishi kwa mashaka
Nikikumbuka kipindi kile cha kuishi kwa madeni
Kile nilichokishika, hakikushikika
Naye yeyote niliyemkimbilia alinikimbia oo
Mambo nikayaona yamekuwa magumu
Ndipo nikaamua kubaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
[Martha Mwaipaja]
Nimepita mahali penye, nimekutana na watu wenye
Asiyeweza kunijeruhi ni wewe, Mungu tu
Anayeweza kunibeba zaidi ni Mungu tu
Niliwaamini watu wengi, niliwaheshimu wengi kabisa
Acha nikuheshimu Mungu peke yangu tu
Watu wamegeuka mipaka maishani
Wamegeuka watesi maishani mwangu
Nilibaki na wewe tu
Nilibaki na wewe Messiah
Niliowaamini sana wamenitenga
Niliyekabidhi maisha yangu kwao wamenitenga
Nimebaki na wewe Yesu wangu
Nilibaki na wewe Baba yangu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Walishangilia walipoona niko chini
Walipojua nimelala njaa, wakapiga makofi
Walipoona natembea kwa miguu wakasema
Kumbe nilikuwa ninapita kwa muda tu
Kumbe nilikuwa natukuzwa na Mungu
Nilibaki na wewe peke yako
Wewe ndiwe rafiki wa karibu nami
Wewe ndiwe mpenzi wa karibu nami
Hujawahi kufurahi ukiona ninateseka
Hujawahi kufurahi ukiona ninalia
Nimebaki na wewe aah
Nilibaki na wewe
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Bwana
Nilibaki na wewe, nilibaki nawe Yesu
Ecouter
A Propos de "Nilibaki na Wewe "
Plus de Lyrics de NEEMA CIZUNGU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl