Paroles de Pinda
Paroles de Pinda Par NEDY MUSIC
Tusingojee kesho kabla jua kuzama
Baby nipe leo leo zikutane nyama kwa nyama
Mi- hujaweka peto rangi zinafanana
Kamba la kibanio moyo ulivyo nikusanya, nikusanya
Sina ujanja kwako sadari
Nimetia nanga we ndo bandari
Room mpaka maka kwako michali
Njoo njamvini ule futari
She already know heart in my mind
Oh you know murda she wrote
Kwa penzi lake me can't deny, can't deny
They call me mr lover lover
She know, she know, she know
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Penzi lako tamu mama naamini
Kama nishaturn udu ushakolea
Nakupa juu chini mpaka nauli
Nachochea moto mpaka unakolea
Wewe uko home ma body mi narelate
Kwako appetite hufai kuniona late
Inyeshe mvua ama jua uko wet
Brown skin girl mi kwako si complicate
Penzi lijaze kibaba komea milango saba
Girl you know all my life
Tumeshibana si haba
Tele rogo nazi saba (Give me more, mi amor)
Sina ujanja kwako sadari
Nimetia nanga we ndo bandari
Room mpaka maka kwako michali
Njoo njamvini ule futari
She already know heart in my mind
Oh you know murda she wrote
Kwa penzi lake me can't deny, can't deny
They call me mr lover lover
She know, she know, she know
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Pinda pinda, mpaka chini pinda
Penzi lako tamu mama naamini
Kama nishaturn udu ushakolea
Nakupa juu chini mpaka nauli
Nachochea moto mpaka unakolea
Lote lote, lote lote
Lote lote, lote lote
Ecouter
A Propos de "Pinda "
Plus de Lyrics de NEDY MUSIC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl