
Paroles de Ai
...
Paroles de Ai Par NATACHA
Nilimpata mpenzi
Nikataka nimuoneshe shoo
Nikaingia kiwanjani bila jezi ah
Matokeo nimefungwa goo Eeeh
Nilijifanya fundi
Kitandani mpaka juu ya dali
Nampa yote siringi
Eh kilichonikuta kwisha habari
Ai Baba kiuno uuma (aii baba kiuno uuma )
Ai Mama we mgongo uuma (aii mama mgongo uuma )
Ai Baba kiuno uuma (aii baba kiuno uuma )
Ai Mama we mgongo uuma (aii mama mgongo uuma )
Mapenzi ya sikuizi kila mtu na wake
(kaa mbali na mpenzi wangu ntakupiga kofi wee)
Sikuizi kila mtu na baby wake
(kaa mbali na baby wangu ntakupa mashuti wee )
Ah kuna kitu kimoja honey anakichekesha
Usiku hataki tulale anataka kukesha
Nikimtazama babu juma ananesanesa
Naona aibu akitaka kuniogesha
Nilijifanya fundi
Kitandani mpaka juu ya dali
Nampa yote siringi
Eh kilichonikuta kwisha habari
Ai Baba kiuno uuma (aii baba kiuno uuma)
Ai Mama we mgongo uuma (aii mama mgongo uuma)
Ai Baba kiuno uuma (aii baba kiuno uuma )
Ai Mama we mgongo uuma (aii mama mgongo uuma )
Ecouter
A Propos de "Ai"
Plus de Lyrics de NATACHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl