Paroles de Weekendi
Paroles de Weekendi Par NASH QASH
Weekend imejo Jo tutokee
Mbogi kujipin Ganji na Madem
Nimejaza gari dere weka gear
Si tank ni full ama nikujazie
Mbogi jo imelia we tu kanyagia
Mafuta mazee situpite mia
Tushafika base Jo tumeingia
Tushafika base Joh tu me ahh
Kulia kushoto cheki tu Madem
Tulia nikusho vile miucheza game
Na order na order Nika Tuko koti
Madem wanajipa Mazee Wako noty
Si wanatingiza ka fish inadedi
Walai tunamedi ka mapedi
Nashukuru mungu sijadedi
Na mi nikidedi nipate mbinguni
Napenda ma vajo kama maria
Na fundamentos ni ka ken wa maria
Napenda Madem hucheza golf
Wakona class ka mwalimu Rachael
Kwa meza meza machupa zimechrome
Ambia bar tender si aturudi home
Ju sai si wote Tuko Kwa zone
Tunacheka tu mdogo zikishika.
Na ka nikukata tukate Hadi kesho
Lazima tutese ju tunakesha
Hatuna pressure Kwani ni kesho
Ambia waiter chafua meza
Luku ni safi Tupige Picha
Cheki mangoko Mali ni fisa
Lazima mlewe na mkizima
Kama raburu tutawabeba
Weekend imefika Joh tutokee
Mbogi kujipin Ganji na Madem
Nimejaza gari dere weka gear
Si tank ni full ama nikujazie
Mbogi imelia we tu kanyagia
Mafuta mazee situpite mia
Kushafika base Joh tumeingia
Tushafika base Joh tu me ahh
Maswali mingi ka tu waiter
Sipendi nguo mi ni waider
Ndawalewesha kama tu bar tender
Ex Wangu joh walai sialinitenda
Shorrie amebeba Hadi kuliko nganya
Ka hesabu Joh siamenichanganya
Vile naroga tu wadai nikamote
Nifike Kwa Tv Hadi 10/10
Do re mi fa so latido siulete Doo
Dem Latino ndo mi Nadai before nidie
Walai bilai na mi si lie mazee na fly
Na realise ni ndoto tu na actualize
Na manifest na multiply sisoti Joh
Nakanyaga Hadi kesho walai situlii
Raundi hii mahater wote tu mtatii
Tujibambe lazima Joh watu wajue
Weekend imefika Joh tutokee
Mbogi kujipin Ganji na Madem
Nimejaza gari dere weka gear
Si tank ni full ama nikujazie
Mbogi imelia we tu kanyagia
Mafuta mazee situpite mia
Tushafika base Joh tumeingia
Tushafika base Joh tu me ahh
Kwa floor ni Madem slim thick
Mazee na pia Bbws,
Tukona Wasee wa Subaru, renji
Na pia wa bmw,
Kufika hadi walai ni kesho si gava
Ishatoa curfew,
Ni weekendi ukijaribu kupiga iza
Mteja apatikani
Come close madam bend over mi
Nimekuja kukuchokoza tu
ju ya vile Unadondosa Jo
kama pasi ntakunyorosha So
karibia nikutongoze uu
Siku kucha mimi Na wewe tu
Mikono kwa hewa ka uko chonjo
Wacha Maswali we tu rudia
Ecouter
A Propos de "Weekendi"
Plus de Lyrics de NASH QASH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl