MUTHONI DRUMMER QUEEN Nai Ni ya Who cover image

Paroles de Nai Ni ya Who

Paroles de Nai Ni ya Who Par MUTHONI DRUMMER QUEEN


Tangu ile siku tuku-elect, haushikagi simu man 'tuwezi connect
Nimekuwa nikisaka an appointment
Nimekuwa niki-suffer disappointment
Siku hizi si hukuonaga kwa telly
Sisi maubao, wewe lunch hoteli
Panganga panganga na ma-pot belly
Conmen, watchmen wanakupangia wakikusalimia
Na we huwezi notice hata huwezi dhania
Siku hizi country yote venye kuna njaa
Kila mtu anafikiria tu chapaa

Don't push me 'coz I'm close to the edge
I'm trying not to lose my head
Ni kama jungle sometimes mimi hu-wonder mbona sijaenda under

Na wale wana dooh ni one percent
Si huwaonanga siku ya kulipa rent
Sisi hukuanga ndani ya predicament
Biggest spender government and church officials
Na miracles zao so artificial
The congregation wako so superficial
Wanataka ule Mungu mu-beneficial
Unofficial kitambulisho unaweza get in a few days
Unaweza get in a few ways
Unaweza get bila delays
Nowadays hosi hakuna ma-doctor
Na gava haijali juu sisi wagonjwa tukienda private tuta-pay so ni obvious nani ana say

Don't push me coz im close to the edge
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under

Hakuna dooh ka mafuta ya Waarabu
Lakini pia dooh kwa futa si ajabu
Vile kina Sep Blatter wamepakua dooh ka bufett kwa platter
Na vile sisi hupendanga news
Na vile sisi hupeaga views, ma-likes, ma-shares, kuji-amuse
Na world affairs, ma-world issues siku hizi ni za social media
Modern daily, encyclopedia
Kufuata hawa ma-socialite wakienda Naija ku-socialize

Don't push me coz im close to the edge
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under

We can't breathe no
We can't breathe no
We can't breathe heh
We can't breathe huh...

Ecouter

A Propos de "Nai Ni ya Who"

Album : Nai Ni ya who (Single)
Année de Sortie : 2012
Copyright : ©2013
Ajouté par : Trendy Sushi
Published : Feb 18 , 2020

Plus de Lyrics de MUTHONI DRUMMER QUEEN

MUTHONI DRUMMER QUEEN
MUTHONI DRUMMER QUEEN
MUTHONI DRUMMER QUEEN
MUTHONI DRUMMER QUEEN

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl