
Paroles de Unstoppable
Paroles de Unstoppable Par MUM CHEROP
I am unstoppable ooh
I am invincible ooh
I am unstoppable ooh
I am invincible ooh
I am unstoppable ooh
I am invincible ooh
Maono yangu hamtayazika
Baraka zangu hamtazuia
I am unstoppable ooh
Alichoanzisha Bwana atatimiza
Baraka zake kamwe hazina huzuni
Anamuinua mnyonge kutoka mavumbini
Kuumketisha pamoja na wafalme
Maono yako hayatazuiliwa
Hatima yako imehakikishwa
Na kama tai utapaa juu
Baraka yangu ahadi yangu
Agano langu eh Mungu wangu
Agano langu lazima litimie
Alianzisha kazi njema ndani yangu
Yeye Bwana ataitimiza
Kama Daudi aliahidiwa
Siku moja atakuwa mfalme
Pamoja na shida alizozipata kwa sauli
Lakini siku moja alikuwa mfalme
Yusufu naye utumwani Misri
Haya siku moja akawa waziri
Ahadi ya mungu lazima itimie
I am unstoppable ooh
I am invincible ooh
Maono yangu, hamtayazika
Baraka zangu, hamtazuia
I am unstoppable ooh
No one shuts the door
That God has opened
No one shuts the door
That God has opened
My vision is well defined
My vision is well defined
I won’t yield to intimidation nor panic
No one pinned me down
Ingawa Leo naishi maisha ya chini
Ingawa leo napewa majina mabaya
Agano la Mungu, lazima litimie
Ahadi ya yahweh, lazima litimie
I am unstoppable ooooh
I am invincible ooooh
Maono yangu, hamtayazika
Baraka zangu, hamtazuia
I am unstoppable ooh
I am invincible ooh
Maono yangu, hamtayazika
Baraka zangu, hamtazuia
I am unstoppable ooh
Ecouter
A Propos de "Unstoppable"
Plus de Lyrics de MUM CHEROP
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl