Paroles de Simu Moja
Paroles de Simu Moja Par MR T TOUCH
Yeyote niliye mteua
Akashindwa kusimamia
Sheria za nchi
Kwangu mimi ni 'simu moja' tu
Billnas Billnas
Simu moja kaenda toka kwa rais
Simu moja wajibika kwao
(Touch take 5 now)
Simu moja, simu moja
Hahahaha, simu moja
Now the boss is talking, simu moja
Michongo yote ni, simu moja
Hahahaha, simu moja
Simu moja, simu moja
Siwezi nika force force nao
Kila kitu kina profit
Siendi loss mi ndio boss wao
Totoz kama saba niko nazo
Manoto kuchezea kama yoto
Wala sio ya mawazo
Na leo mtachinjiwa
Mbebe zenyu zinjiwa
Na mkisinzia, nishatega zizia
Simu moja nawapigia
So lets go now(go now, go now)
Simu moja
Ukiwa na pesa unachotaka
Kwa muda utakipata
Utaficha masaka, ma-
Hakuna mashataka
Nishapewa yote mamlaka
Watoto mama choo unawapa, simu moja
Confirm, simu moja
Hahahahaha, simu moja
Now the boss is talking, simu moja
Utaliita hitaji, simu moja
Sisi ndio wazee wa fitina, simu moja
Ujeuri ya ki-badman, simu moja
Ah yeah yeah yeah yeah, simu moja
Billnas Billnas
Kula bahati mbaya
Mikausho mikali alafu niko on fire
Simu ya kikubwa ka una-talk na Jakaya
Jipange ukiona namba yangu inakuvutia waya
Na hakuna missed call, huwa napiga kabisa
Na ukimiss my call, bora ujichinje kabisa mwana
Huwa ni bill bill, kupigiwa na Bill Bill
Namba yangu si unajua inaanzaga na mbili mbili
Simu moja mi namcall dem wako
Simu moja alafu na-ball kitaani kwako
Simu moja nabonga na dadako
Na ukipiga simu ya kijinga baas
Hey, kila kitu na-confirm, simu moja
Huwa naagizia menu, simu moja
Nikitaka ganja, simu moja
Ata pesa pia mkwanja, simu moja
Eeeh aaah, simu moja
Steam zikikata, simu moja
Yori ya ki badman, simu moja
Yeah yeah yeah yeah, simu moja
Alright alright alright, simu moja
Songa town wanajua ni, simu moja
Simu moja....
Ecouter
A Propos de "Simu Moja"
Plus de Lyrics de MR T TOUCH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl