Paroles de Am Sorry
Paroles de Am Sorry Par MR SEED
Sikujua aki ya nani sikujua
Ako na roho mbaya, anataka tuachane
Sikujua kusema ukweli sikujua
Ako na nia mbaya anataka unitenge
Nimeomba msamaha
Nimeomba kwake Mungu baba
Ilikuwa ni tamaa aah, ona sasa aah
Sikutaka kukukosea eeh
Sikutaka kukulilisha eeh
Mtoto analia nyumbani, anataka wee mami
Mtoto analia nyumbani, anataka wee
Mtoto analia nyumbani, anataka urudi
Mtoto analia nyumbani, ulitoroka mam
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Mi nasema pole
Alitumwa na shetani huyoo, huyoo
Alitumwa na shetani huyoo, huyoo
Alitumwa na shetani huyoo, huyoo
Alitumwa na shetani huyoo, huyoo
Mipango mbaya nazikemea
Ooh nazikemea
Wenye roho mbaya, nawakemea
Wachaneni na mimi na mpenzi wangu
Mtoto analia nyumbani, anataka wee mami
Mtoto analia nyumbani, anataka wee
Mtoto analia nyumbani, anataka urudi
Mtoto analia nyumbani, ulitoroka mam
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Ecouter
A Propos de "Am Sorry"
Plus de Lyrics de MR SEED
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl