
Paroles de Nusu Saa
...
Paroles de Nusu Saa Par MBOSSO
Ayoo lizer
Nina hadithi ya mapenzi ngoja nikuhadithie
Kwenye yangu matembezi nusu kufa nizimie
Ushaona mtoto bila malezi ndo nilikuaga mie
Moyo niliwapa wezi matapeli waniibie
Sasa inantosha nimesahau
Tangu nikupate wewe naiona angalau
Sasa imetosha nimesahau mimi
Tangu nikupate wewe naiona angalau
Robo saa, haitoshi nusu saa
Hata masaa, suchoki kusema na wewe
Robo saa, haitoshi nusu saa
Hata masaa, suchoki kusema na wewe
Deka unavyodeka kama mtoto
Nitakubembeleza mi ni wako oooh
Nitazidi kupa vitu moto moto ooh
Mapenzi kupendana si mchezo oooh
Uuuhuuuu
Nilimaliza na waganga waganguzi miti shamba
Kumbe mapenzi ni karanga zinapikwa na mchanga
Sasa inatosha nimesahau
Tangu nikupate wewe, naiona angalau
Sasa imetosha nimesahau mimi
Tangu nikupate wewe naiona angalau
Robo saa, haitoshi nusu saa
Hata masaa, suchoki kusema na wewe
Robo saa, haitoshi nusu saa
Hata masaa, suchoki kusema na wewe
Nainua mkono mama kitambaa cheupe
Ishara ya mapenzi mama ooh zipora
Wewe nami zipora mama ua langu la moyo
Haya yote tisa tu moja jaza peke
Ecouter
A Propos de "Nusu Saa"
Plus de Lyrics de MBOSSO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl