MBOSSO Huyu Hapa  cover image

Paroles de Huyu Hapa

Paroles de Huyu Hapa Par MBOSSO


Hehehe iyaaa
Chi chi chi
Dar es salama eeh
Moto moto moto

Liwalo na liwe, leo namtangaza
Sitaki nishauriwe eeh namtangaza
Huyu hapa huyu, nampenda
Huyu hapa huyu, ananipenda
Sijrogwa ndugu yenu ni mapenzi ninayopatiwa
Mwana kanipa kisamvu kipapatilo nyama ya njiwa
Huyu hapa huyu, nampenda
Huyu hapa huyu, ananipenda
Sheba sheba sheba sheba
Sheba sheba ajejejeje iyaaah
Chuki mkichukia hamtushughulishi
Sisi la masufuria halitakati kwa jiki
Debe tupu ooh debe jupu
Acha zako kelele
Bure wajikausha sauti
Acha zako kelele
Tandika mkeka ukae utulie
Acha zako kelele
Sisi bado bado
Acha zako kelele oooooh
Huyu hapa huyu, nampenda
Huyu hapa huyu, ananipenda

Sa twende tiriri, tiriri tiriri
Waonyeshe tiriri oh baby tiriri
Tiriri tiriri, tiriri tiriri
Tiriri tiriri, tiriri tiriri
Sisemi nae eeh sisemi nae
Sisemi nae eeh sisemi nae
Huyo dungae embe, sisemi nae
Mkurubia zinaa, sisemi nae
U.t.i mwana kaswende, sisemi nae
Oooh aaah eeeh sisemi nae
Alidhani nitadharirika, sisemi nae
Nimepata wakuriadhika, sisemi nae
Ooh nishatembeza block, sisemi nae
Sio hadhi yangu teena, sisemi nae

Debe tupu ooh , Debe tupu
Acha zako kelele

Ecouter

A Propos de "Huyu Hapa "

Album : Khan (EP)
Année de Sortie : 2022
Ajouté par : Farida
Published : Oct 28 , 2022

Plus de Lyrics de MBOSSO

Ova
MBOSSO
MBOSSO
MBOSSO
MBOSSO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl