Paroles de Yeye
Paroles de Yeye Par MAN FONGO
Man Fongo - Yeye lyrics
Mwambie asikonde
Penzi langu la kisela
Tena sio kinyonge
Mi kwake nitanyenyekea
Zibo tisi na jinsi
Kauli yangu moja tu
Naonekana huku wazi
Kisa sina sista duu
Mwambie lazima kiki
Nawasha serenge
Ka tuna kibosi
Popote anataka twende
Na akipiga deki
Mi mwenzake hoi
Na akicheza chura
Ndo anagonga wangu moyo
Twende saula saula
Shangwe mtaa wa pili
Mi mbona nimekuwa tena
Akilipa natunza siri
Kabinti kadogo
Kaliojaa mikogo
Mambo si kidogo
Ugali wake mhogo
Nyumbani kwetu Tandale
Naye anaishi kigogo
Ye anaishi kigogo
Kwani ukisikia naumwa
Tatizo yeye ye
Na nitakunywa sumu
Sababu ye, ye ye
Ukisikia nimekufa
Sababu ye, ye ye ye
Na nitakunywa sumu
Sababu yeye ooh
Ndo yee nampenda sana mimi
Ndo yee simuachi jamaa mie
Ndo yee nampenda sana mie
Ndo yee simuachi jamaa mie
Na penzi lake limeniteka nyang'a nyang'a
Na Man Fongo kwake nashindwa sema
Na penzi lake limeniteka kama mtumwa
Oooh Man Fongo kwake nashindwa toka
Basi mama nipende mimi
Uwe kwenye moyo
Eeh japo masikini
Uwe kwenye moyo
Ooh wanangu wee, masela wee
Mapenzi yamenivuruga
Ooh wanangu wee, masela wee
Mapenzi yamenivuruga
Mwenzenu kula nakula, kuvaa navaa
Lakini mapenzi bado yananisumbua
Ona nampenda kisura, nahisi anapaa
Nimemtaka kitambo nikashindwa kumwambia
Mapenzi yamenivuruga
Mapenzi yamenivuruga
Kwani ukisikia naumwa
Tatizo yeye ye
Na nitakunywa sumu
Sababu ye, ye ye
Ukisikia nimekufa
Sababu ye, ye ye ye
Na nitakunywa sumu
Sababu yeye ooh
Ndo yee nampenda sana mimi
Ndo yee simuachi jamaa mie
Ndo yee nampenda sana mie
Ndo yee simuachi jamaa mie
Na penzi lake limeniteka nyang'a nyang'a
Na Man Fongo kwake nashindwa sema
Na penzi lake limeniteka kama mtumwa
Oooh Man Fongo kwake nashindwa toka
Basi mama nipende mimi
Uwe kwenye moyo
Eeh japo masikini
Uwe kwenye moyo
Ecouter
A Propos de "Yeye "
Plus de Lyrics de MAN FONGO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl