Paroles de Parachichi Par MADINI CLASSIC

We ndio parachichi na kwa utamu  wako nishanogea
Sefufichi mum tena nashindwa kuongea aah
Siunajua ni wachache tu sa na wange nitu sasa vumilia
Kipindi sina hata salio bora tuwachane tu uuh
Walijibu kwa hisia nikaona wote si
 Ooh  (Waliposema)
Eti sijui mapenzi mara mimi boya
Oh binadamu ndivyo walivyo kucha mapurukushani
Mpaka  mimi boya
Hata kwa pipi eti sivyo ooh
Roho yangu mama
Wakaunyanyapa nikasema basi oh basi mama
Hata bora nisepe eti sijui mapenzi mara  mimi boya
Uwe sweet mangi ukanipa imani nikatulia aah
Ahh na ukanibembeleza nikafata maagizo
Kitanda likiza ukanibe ona

[CHORUS]
 (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu

Usiniache nishikilie roho inatamani
Wanaofanana nawe ni wachacheee
Una penzi la kizamani heey au maybe
Niringe nawe mgongoni waone thamani yako
Au kama pete kidolene
Ah we nyako ooh
Nizuie nisije hongwa hata karanga
Na wabaya hao
Oh tate nisjje rogwa Kwa vya  misimu uuh
Aii nikaja kuona hufai uwepo wako uninyonge kuona
Hey hey
 we ndio sukari kwa chai hata usisonge
Na unajua baby ninapokuona roho yangu inatulia  aah
Vidonda yangu vinaponanjo
tugende my dia eti njo ooh
My parachichi njo ooh
 tugende my dia njo ooh
Njoh ooh njo tugende my dia

[CHORUS]
(my baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu

Basi nakupa fasi uniroge
Na nikienda mental unitibu uuh
Usikubali wanimyime tonge
Naoba uzidishe upendo nadabu
 maana menawe tuna endana
Kama ndoto na usingizi
Chonde chonde mama zidishaya
jana parachichi wangu we

[CHORUS]
 (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu (My baby)
We ndio parachichi wangu parachichi wangu

Ecouter
A Propos de la chanson
Album : Parachichi (Single),
Année de Sortie : 2017
Ajouté par: Olivier Charly
Published: Aug 25 , 2019
Plus de Paroles de MADINI CLASSIC
Commentaires ( 0 )
Aucun Commentaire pour l'instant
Laisser un Commentaire