Paroles de Alewa
Paroles de Alewa Par LULU DIVA
(S2KIZZY baby...)
Mapenzi yanafanya nidate
Nishike moyoni niweke
Haha nyang’a niyateke teke
Niteke na mimi niweke
Unenigusa wivu wabaya
Vishakunaku roho mbaya
Maneno mengi bila haya
Oooh
Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa
Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one
Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa
Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one
Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa…
Kama ni moto moto moto moto
Umesha kolea
Amenikosha mtoto joto joto
Naugulia
Basi niruhusu baba shabani
Twende nyumbani
Basi niruhusu nipe kampani
Tuwe kampani
(S2KIZZY baby)
Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa
Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one
Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa
Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one
Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa…
Msogele, msogele... Msogele, msogele... aya
Msogele, msogele... Msogele, msogele... aya
Msogele, msogele... Msogele, msogele... aya
(S2KIZZY baby)
Ecouter
A Propos de "Alewa"
Plus de Lyrics de LULU DIVA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl