Paroles de Kitete
Paroles de Kitete Par LOMODO
Huumm ...
Zile fitina fitina Maneno
Sitaki kusikia
Wala lawama zawale vikwazo
Mbali nitatupia
Hmm !
Kwani nini kosa langu minawaza siambui
Tamu imegeuka chungu ghafla umekuwa chui iiih ihe heee
Ninashindwa kula
Hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha
Ikiwa wewe ndo chanzo
Ninashindwa kula
Hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha
Ikiwa wewe ndo chanzo
[CHORUS]
Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu
Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu
Hmmm… Ah !
Mjini vishawishi vingi
Baby chunga tamaaa
Shetani ibirisi shilingi fupisha macho kuona
Nakama nimekosa baby
Basi tuwekane sawa (uuh)
Makosa kaumbiwa binadam
Siwezi kuwa sawa ooh ! heee !
Wasiokupenda shoga zako
Hivo chunga siri usiwaambie wenzio
Ya ndani ku amwaga
Madhaifu yangu nitunzie mwenzio oooh
Ninashindwa kula hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha
Ikiwa wewe ndo chanzo
Ninashindwa kula
Hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha
Ikiwa wewe ndo chanzo
[CHORUS]
Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu
Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu
[OUTRO]
(Mawazo !)
Usiku silali nakesha unanitesa hisia zangu (mawazo )
Kibaya zaidi nashindwa kujua nini kosa langu -mawazo oh )
Lala lalililaa lololooooo… Mmmmmmh
Ecouter
A Propos de "Kitete"
Plus de Lyrics de LOMODO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl