Paroles de Hapo
Paroles de Hapo Par LOMODO
Mapenzi matamu, kama tutapendana kweli
Mimi na wewe wewe, eeeh
Tuoneshane nidhamu, kati hatutokuja feli
Tuishi milele lele
Mami Lo!, mami Lo!
Mami Lo! yoyo
Tufanye siri eeh
Mami Lo! yoyo
Basi mami abiri
Nikikosa unipe nafasi ya kuyajenga
Mimi nawee
Mimi na wewe, iyee, iyee, iyeee
Ukikosa nikupe nafasi
Ya kuyajenga mimi nawee
Mimi na wewe
Iyee, iyee, iyeee
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Mimi na wewe tupendane
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Mimi na wewe tupendane
Tumependezana mmh
Nikikosa samaki
Nije na dagaa unipokee
Nikikosa mchele
Nije na unga
Nikikosa Versace
Mi dabo amevaa, usinifokee
Siku nikokosa michele
Si tutavunga
Twende unapopataka
Nije unapopataka
Twende hakuna mashaka
Utamu mpaka kwa kisogo
Nikikosa unipe nafasi ya kuyajenga
Mimi nawee
Mimi na wewe, iyee, iyee, iyeee
Ukikosa nikupe nafasi
Ya kuyajenga mimi nawee
Mimi na wewe
Iyee, iyee, iyeee
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Mimi na wewe tumenoga
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Mimi na wewe tumenoga
Nikikosa samaki
Nije na dagaa unipokee
Nikikosa mchele
Nije na unga
Twende unapopataka
Nije unapopataka
Twende hakuna mashaka
Utamu mpaka kwa kisogo
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Mimi na wewe tumenoga
Hapo, hapo, hapo
Hatutashindwana
Hapo, hapo, hapo
Mimi na wewe tumenoga
Ecouter
A Propos de "Hapo"
Plus de Lyrics de LOMODO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl