Paroles de Bila Wewe
Paroles de Bila Wewe Par LJAY MAASAI
Yuko wapi yule mpenzi wangu wa zamani
Yuko wapi yule mpenzi wangu wa Thamani (Yule Yule)
Alie nipenda kile kipindi Sija Winii (Yule yule)
Alie nipenda wakati mimi sina kitu (Yule yule yule)
Nilipige goti japo nipate wako msamaha
Kanipiga shoti, katetemeka mwili nzima
Nimeteseka bila wewe (Yahweh)
Aimina tene mitii iyie (Yahweh)
Nimeteseka bila wewe (Yahweh)
Aimina tene mitii iyie (Yahweh)
Nimeteseka bila wewe (Yahweh)
Aimina tene mitii iyie (Yahweh)
Yahweh eehh ... ooohh, .....mmmmh
You are Euphemia and your blessings Bigi Sir
You are Euphemia and your blessings Bigi Sir
Meetae Olikia oijo taa iyie
Olitoriani iyie agira aimake
Meetae Olikia oijo taa iyie
Olitoriani iyie agira aimake
Na missi yako ya ma Lovely
Ma peti peti love na ma something
Na niwewe ulinitoa kule
Ukinaweka ukanifanya Vile
Iyie ake, iyie ake iyiake iyiake nanu aranyaki
Walinipaka mafuta nao mgongo wa chupa, mgongo wa chupa marafiki
Wakanipaka mafuta nao mgongo wa chupa, mgongo wa chupa Manafiki
Mapenzi ntakupea mie
Usini wache kua lonely
Nilipige goti japo nipate wako msamaha
Kanipiga shoti, katetemeka mwili nzima
Nimeteseka bila wewe (Yahweh)
Aimina tene mitii iyie (Yahweh)
Nimeteseka bila wewe (Yahweh)
Aimina tene mitii iyie (Yahweh)
Nimeteseka bila wewe (Yahweh)
Aimina tene mitii iyie (Yahweh)
Eh you’re Euphemia
And your blessings Bigi Sir
Ecouter
A Propos de "Bila Wewe"
Plus de Lyrics de LJAY MAASAI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl