Paroles de Kishash
Paroles de Kishash Par LIL MAINA
Bratha eeh, reo rada ni safi
Tupatane hapo nghetto
Tuchonge mamilaa eeh
Ai usidoz ndio huyo mimi ninacome
Manze huko nje naitwa one minute man
Ati mi hu-bore but am on high demand
Depression iki kick-in manze nitakiburn
Kishash (Wee) Kwa bash (Wee)
Kishash (Wee) Kwa bash (Wee)
Kishash (Wee) Kwa bash (Wee)
Kishash (Wee)
You want a quickie in an Uber chap chap (Alaa)
Kama Soulja Boy she makes it clap clap
Hii samosa ni ka manzi yako
Ai venye inaslap
Kishash (Eeeh)
Kishash kishash kwa bash (Wee)
Kishash kishash kwa bash (Wee)
Kishash kishash kwa bash (Wee)
Kishash
Skiza! Everything you say has a consequence
Anatingisha ungedhani ni effervescence
Manzi yako ye hupeana na confidence
Am Jidenna man, I feel like a classic man
Amekata tatu na bado hableki
Ni kama gari imeachilia breki
Na manyaru zitafanya mi nikreki
Ni kasupuu kapoa kako na jegi, ai we
Ai usidoz ndio huyo mimi ninacome
Manze huko nje naitwa one minute man
Ati mi hu-bore but am on high demand
Depression iki kick-in manze nitakiburn
Kishash kishash kwa bash (Uuuwi)
Kishash kishash kwa bash (Uuuwi)
Kishash kishash kwa bash (Aiii)
Kishash
Ai! Hey peng ting (Fine fine)
Ay what's you name ting (Njeri)
Unaeza risk si tufanye some tasting (Mmh)
Na mi ni chali straight forward no dating (Mmh)
Si mi najua unapenda forni... (Wewe)
Hodi hodi ho
Ukinipea siwezi mind
Show me show me show
Baby where are you behind this
Mi si kama wao
Baby hii si madharao
Siwezi patana nao
Mi ni Ndovu
Hebu ngoja nina kitu
Si makelele ndani ya toja nina jitu
Na ni yenyewe umezoea za mwitu
Hii ikikupata utaskia ni ka uko mavitu
Ai we! Ai usidoz ndio huyo mimi ninacome
Manze huko nje naitwa one minute man
Ati mi hu-bore but am on high demand
Depression iki kick-in manze nitakiburn
Kishash kishash kwa bash (Uuuwi)
Kishash kishash kwa bash (Uuuwi)
Kishash kishash kwa bash (Aiii)
Kishash (Aiii)
Burn! Kishash kishash kwa bash (Uuuwi)
Kishash kishash kwa bash (Uuuwi)
Kishash kishash kwa bash (Aiii)
Kishash (Aiii)
Shash (Shash) wee
Kwa bash (Shash)
Kishash (Shash) wee
Kwa bash (Shash)
Ndovu aki walai, ah ah
Kishash
Ecouter
A Propos de "Kishash"
Plus de Lyrics de LIL MAINA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl