Paroles de Ngarambe
Paroles de Ngarambe Par LETEIPA THE KING
Big daddy
Pop karly pro
It’s vampk 254
Kameshina kama kiondoo,kifua ni embe ukitaka ujimenyee
Kama kametoka bondo
Kanavyonyandua dompo, hakajaalikwa kinywaji kajiekee
Bado kanatepa kondoo
Kanadai wine na cider zinabooo
Form ni mangwai, mawada na machrome
Na kamedecide kuwahi chali masai
Juu size ya kijinai ni fine na wana dooh
She likes castles na hakadai hustle
She is like mamboz, please nadai bundles
Please kabuy sandals, heels ziwahi kando
Mi sidai scandals maybe nikuwahi cuddle
Kitega uchumi chake saidong’I eeeh
Thao jamo kanawahi mbogi eeh
Hata ukiwa na mbao katakai nooti eeeh
(Ndarambe nyosto ngarambe
Ndarambe nyosto ngarambe)
Kalishower mwaka jana ni mafuta kamejipaka (ngarambe)
Luku mpaka kaombe, ndio sasa katokee
(Ndarambe nyosto ngarambe)
Kamedunga claddy mpya na thango linakiraka (ngarambe)
Sura wacha tuongee, peigine tukaombee
(Ndarambe nyosto ngarambe)
Aaaah
Slay queen anataka mtu pesa
Bila dooh anadai utamtesa
Ukiwa nazo pia anadai kuziwatse aah
Cheza mbali bro lenga hizo story
We ni tapeli but umepatana na matheri
Zako vako mi huwezi nitapeli
Zako vako we huwezi bonga kweli
Sura chura basi kama nakejeli
After this kuna wengi watacatch cheki
Mi sijali kama ngoma imekutouch cheki
Nishasema so siezi nikareverse
Get a life basi kama nakujudje
(Ndarambe nyosto ngarambeà
Kitega uchumi chake saidong’I eeh
Thao jamo kanawahi mbogi eeh
Hata ukiwa na mbao hatakai notii eeh
(Ndarambe nyosto ngarambe
Ndarambe nyosto ngarambe)
Kalishower mwaka jana ni mafuta kamejipaka (ngarambe)
Luku mpaka kaombe, ndio sasa katokee
(Ndarambe nyosto ngarambe)
Kamedunga claddy mpya na thango linakiraka (ngarambe)
Sura wacha tuongee, peigine tukaombee
(Ndarambe nyosto ngarambe)
Unafaa kuwa peddy, vile unavyopenda kumedi
Princess pat na unaflash mpaka zedy
Una deals shaddy, unavyopenda mijeledi
Sikuchoni naona ka utakufa na ukedi
Kufua hupendi, na bafu huendi
Una subiria mkapige sheshe wikendi aaaah
(Ndarambe nyosto ngarambe)
Ecouter
A Propos de "Ngarambe"
Plus de Lyrics de LETEIPA THE KING
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl