Paroles de Nawacha Pombe
Paroles de Nawacha Pombe Par KUSHMAN
Listen, ukiwa na shida ya moyo
Usikunywe pombe uchome maini
Kushman, Pedi wa magenge
Pombe iliniweka kwa noma
Hata sai staki kuiona
Hii ni wikendi ya mwisho najibamba
Kwanzia Monday nawacha pombe
Pombe hufanya niblunder
Jana ilifanya nikakojoa kwa kikombe
Pombe inaweza kukudanganya
Unakatia mashosho ukidhani ni wasichana
Simu nimepoteza mara ngapi? (50)
Pesa nimepoteza mara ngapi? (47)
Hata sai niko na shida ya maini
Nikionja makali mtaniokota chini
Nawacha pombe till further notice
Yaani nawacha pombe hadi budangu anotice
Ukinipata nakata maji
Afande nishike na uniekelee bangi
Aii, nawacha pombe
Nawacha pombe, nawacha pombe
Aki pombe nitakumiss
Aii, nawacha pombe
Nawacha pombe, nawacha pombe
Aki pombe nitakumiss
We ni bibi ya mtu na unalewa sana (Aii wacha pombe)
Bwana anakutafuta hujarudi tangu jana (Aii wacha pombe)
We ni mwanaume na ukilewa ni kelele (Aii wacha pombe)
Unakunywa mzinga na watoto wako njaa (Aii wacha pombe)
Najua pombe si supu
Na pombe ni tamu kuliko supu
Lakini pombe ni kisirani
Unasahau bibi yako unakumbuka wa jirani
Mi husema nawacha na siwachi
Ati sitawai tena kata maji
Kesho unanipata nimelewa chakari
Matope kila mahali
Aii, nawacha pombe
Nawacha pombe, nawacha pombe
Aki pombe nitakumiss
Aii, nawacha pombe
Nawacha pombe, nawacha pombe
Aki pombe nitakumiss
Chwani nilirudi wakaend up in gospel
Mi na scar ndani ya ghetto siko pombe
Mi ni hustler Alice Wahome
Pombe inafanya macho pata potea
Shot mbili pembe zishamea
Roho juu ata manze nakemea
Hio one night ya pona ponea
Kama si nani one night ningeumia
Jua mingi hata chini ya kitanda
Itabidi hii tabia nitawacha
Nimechoka kulala kwa veranda
Nimechoka kubebwa ka makanga
Aii, nawacha pombe
Nawacha pombe, nawacha pombe
Aki pombe nitakumiss
Aii, nawacha pombe
Nawacha pombe, nawacha pombe
Aki pombe nitakumiss
Ecouter
A Propos de "Nawacha Pombe"
Plus de Lyrics de KUSHMAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl