Paroles de Wa Sasa
Paroles de Wa Sasa Par KUSAH
Oo my wee
Nataka nikupe penzi ulishike lote
Ulishike kwa mikono
Kwa mikono mwenyewe
Na hata ukiwa mbali wee
Jifanye bado kma tuko wote mama
Fumba mache unione, unione mwenyewee
Kweli mabaya yapoo
Ila mazuri yapoo
Tujishikile, usije ukaniacha
Utafanya niliee
Kweli wabaya wapooo
Ila wazuri wapooo
Inabidi uangalie
Usiwatamanie utafanya nilie
Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Mwenzako penzi lako burudani
Jamani huku hoi taabani
Mwenziooo sikioo alisikii tena
Wee jione mwamba
Ringa, vimba, dunda
Wajue nakupenda aaah
Mwenzio nakupenda aaah
Na mi natamba
Insta, tiktok
Naringa mwenzio nakupenda aah
Wajue nakupenda aaah
Kweli mabaya yapooo
Ila wazuri wapooo
Tuji shikilie, usije ukaniacha
Utafanya niliee
Kweli wabaya wapooo
Ila wazuri wapooo
Inabidi uangalie
Usiwatamanie utafanya nilie
Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Ecouter
A Propos de "Wa Sasa"
Plus de Lyrics de KUSAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl