
Paroles de Huyu Hapa
...
Paroles de Huyu Hapa Par KUSAH
Mara paap paap
Penzi limekwisha nimebaki peke yangu
Ooh nitalia kwa nguvu garagara na kuzimia
Thanibeba inzobe mzobe kilio ka mtoto mapenzi
Na kikizinduka (juu juu)
Naenda kukuroga nakuekea (juu juu)
Nalichanganya na kukoroga
Kama kukupenda (nakupenda)
Na kama nikuzama (nime zama)
Yule mpenzi, (huyu hapaa)
Je t’aime baby, (huyu hapaa)
Motema na ngai,( huyu hapaa)
Rukunfo wanje (huyu hapaa)
Yule mpenzi ( huyu hapaa)
Je t’aime baby, (huyu hapaa)
Motema na ngai,( huyu hapaa)
Rukunfo wanje (huyu hapaa)
Kumbe kuna mambo sijaona
Na utuuzima wangu
Napigishwa deki nalambishwa napanda mlima
Kwako bwege hii mechi nimezidiwa
Ukizidisha naangguka nazimia naa
Na nikiziduka (juu juu)
Naenda kukuroga nakuekea (juu juu)
Nalichanganya na kukoroga
Kama kukupenda (nakupenda)
Na kama nikuzama (nime zama)
Yule mpenzi, (huyu hapaa)
Je t’aime baby, (huyu hapaa)
Motema na ngai,( huyu hapaa)
Rukunfo wanje (huyu hapaa)
Yule mpenzi ( huyu hapaa)
Je t’aime baby, (huyu hapaa)
Motema na ngai,( huyu hapaa)
Rukunfo wanje (huyu hapaa)
Ecouter
A Propos de "Huyu Hapa"
Plus de Lyrics de KUSAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl