Paroles de Masalale
Paroles de Masalale Par K.O
Chagua utaishi Nyali au Kikambala
Wapi nikupeleke
Najua utakula wali mandi swara
Ama ndizi matoke
Utasonga matuta Abuja
Ama lile pozi la mawigi
Popote ukitaka nitakuja
Tunywe vitu tamu rigirigi
Ng'ara ng'ara mzungu
Msomali huyu ni chotara
Najihisi sukari nikimdara
Amenipumbaza zu zu zu zu
Chocolate colour
Kiuno na kidari kote kara kara
Kutwa natafakati nikimkwala
Akinitawala washa washa masala
Kaniliwaza eeh
Masalale, masalale
Masalale, masalale
Masalale, masalale
Masalale, masalale
Ndo mara ya kwanza namwona cheki alivyoshona
Amejaza kamini na rangi Tanasha Donna
Umesimama wima au unapiga kona
Unavyolisukuma jimbi litakudona
Iyee allow me to be your boyfriend
Nataka nikumarry wewe
Tena inapofika weekend
Nikubebe kwa gari wewe
Ng'ara ng'ara mzungu
Msomali huyu ni chotara
Najihisi sukari nikimdara
Amenipumbaza zu zu zu zu
Chocolate colour
Kiuno na kidari kote kara kara
Kutwa natafakati nikimkwala
Akinitawala washa washa masala
Kaniliwaza eeh
Masalale, huyu mtoto bwana ana vingi vitishio
Masalale, vile anavyofanya yake makusudio
Masalale, ameichanganya akili na fikira
Masalale, ameitawanya hamaki na hasira
Ecouter
A Propos de "Masalale"
Plus de Lyrics de K.O
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl