Gubu Paroles

KILLY Feat ALIKIBA Tanzanie | Bongo Flava,

Paroles de Gubu


Hasira hasira za nini?
Naomba urudishe moyo wako nyuma
Naathirika mie
Kwa nini eeh kwa nini eeh?

Njoo tuzifute tofauti zetu
Mi nawe
Nisitokubali adhabu 
Penzi ile silioni

Nimegundua ulinishusha daraja
Ulitie huruma dhahiri
Ukweli vile ulitangatanga kukicha
Nilikosa nini hunny?

Hadharani kumbe bado
Namshika mkono ambaye
Baba nani naye anajilia
Yoyoyoyo

Hata nani gubu la nini mama
Mama eeeeh
Kisiranii funzo usiofunzika
Mama oooh

Matatizo, gubu la nini mama eeh?
Matatizo, gubu la nini mama eeh?

Adhabu Killy
Kisa alivyonichanganya
Sioni sisikii
Nimejaribu nimekwama

Hata juzi juzi alilewa sana
Akalala bar vile vile
Mi nilimpenda kweli ooh
Oooh ooh ooh oo

Ni kama ana mapepo pepo
Ya baharini
Shida shida shida gani ooh
Hivyo ndo alivyo oooh

Hadharani kumbe bado
Namshika mkono ambaye
Baba nani naye anajilia
Ooh mama bora ooh

Hata ndani gubu la ringi
Mama mama eeeeh
Kisiranii funzo usiofunzika
Mama mwana maaa

Matatizo, gubu la nini mama?
Matatizo, gubu la nini mama?

Gubu la nini oooh 
Aaaah, matatizo
Gubu la nini?
Mama eeh

Laisser un commentaire