
Paroles de Usiwaze
Paroles de Usiwaze Par KASSAM
(Chipaka on the beat)
Yani hapa navyo ongea
Tayari nishajifia
Ukinitazama kwa makini
Utaona nilivyojiozea
Honey maneno yako ya chekechea
Ndo kabisa yaniuuvaa
Ndomo wako unavyouweka
Mmh bana utaniuwa
Nampango nikukataze kuwaa kimini
Yani mgauni juu mpaka chini
Simu yako nishike mimi
Huo wivu mama sio mimi
Ooh baby acha wivu wako usikakuwa wa mimi
Ushaniweza kwako nipo chini
Eti mgauni juu mpaka chini
Unavituko baby
Moyo wangu unavyokwenda
Acha nifanye yote
Kwa sauti kubusa nakupenda
Na wasikie wote
Moyo wangu unavyokwenda
Acha nifanye yote
Kwa hefuri kubusa nakupenda
Nijaze vitabu vyote
Naomba baby
Usiwaze kuniacha baby
Usiwaze kuniacha baby
Usiwaze kuniacha baby
Usiwaze kuniacha baby
Wao waongozua na shetwani
Siye twaongozua na mungu
Wacho waturogeroge
Dawa zao hazima nguvu
Tena wala hutubishani
Hatuna muda wa majungu
Siye tupo ndani twaoneshana mautundu
Basi tunendane kweli yanitimie walotabiri
Wewe na mimi hatutofika mbalii
Moyo wangu unavyokwenda
Acha nifanye yote
Kwa sauti kubusa nakupenda
Na wasikie wote
Moyo wangu unavyokwenda
Acha nifanye yote
Kwa hefuri kubusa nakupenda
Nijaze vitabu vyote
Naomba baby
Usiwaze kuniacha baby
Usiwaze kuniacha baby
Usiwaze kuniacha baby
Usiwaze kuniacha baby
Kuniwacha usiwaze mmmh
Ecouter
A Propos de "Usiwaze "
Plus de Lyrics de KASSAM
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl