Paroles de Dunia
Paroles de Dunia Par KHAN SILLAH
Sasa watu wote tuswali
Mpaka pagan na wavuta bangi
Hali ya sasa inatisha
Inaonekana tumezidi dhambi
Ona dunia ya leo
Kila kunapokucha ni vifo tu
Wazo la leo tumwambie Mola
Tusife kibudu
Mambo mchanganyiko
Kutwa kucha dunia masikitiko
Ona Corona tatizo
Haichagui fukara vigogo
Mambo mchanganyiko
Kutwa kucha dunia masikitiko
Ona Corona tatizo
Haichagui fukara vigogo
Dunia, au dunia imefika mwisho
Dunia, hebu someni maandiko
Dunia, huku kule masikitiko
Kukicha ni vifo
Dunia, au dunia imefika mwisho
Dunia, hebu someni maandiko
Dunia, huku kule masikitiko
Kukicha ni vifo
Ndoto za watu wengi
Zinapotea kwa hili gonjwa
Watoto shule hatuendi
Sababu ya Corona
Mi naswali namuombea
Daddy asije akanasa
Huwa nampenda wali
Kama nyuki na asali kisha nateseka
Ishakuwa so
Vitabu vya dini navyo vishasema
Dalili za mwisho
Sasa hizi ndizo zinaonekana
Mambo mchanganyiko
Kutwa kucha dunia masikitiko
Ona Corona tatizo
Haichagui fukara vigogo
Dunia, au dunia imefika mwisho
Dunia, hebu someni maandiko
Dunia, huku kule masikitiko
Kukicha ni vifo
Dunia, au dunia imefika mwisho
Dunia, hebu someni maandiko
Dunia, huku kule masikitiko
Kukicha ni vifo
Dunia, au dunia imefika mwisho
Dunia, hebu someni maandiko
Dunia, huku kule masikitiko
Kukicha ni vifo
Dunia, au dunia imefika mwisho
Dunia, hebu someni maandiko
Dunia, huku kule masikitiko
Kukicha ni vifo
Ecouter
A Propos de "Dunia"
Plus de Lyrics de KHAN SILLAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl