KHALIGRAPH JONES Punguza Kasheshe  cover image

Paroles de Punguza Kasheshe

Paroles de Punguza Kasheshe Par KHALIGRAPH JONES


Niko kwa streets na mamita
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende
Niko na biz nasafisha
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe

So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe)
Punguza kasheshe

Haha, punguza kasheshe
Beat inagonga proper inabaki naunguza madebe
Past curfew bado niko nje ninazunguka na njeve
Tenje nilisahau keja najua wife ashachunguza ma message
Rat race teketeke niko niko on toes niki navigate (Jones)
Mi ni gangster we bado unangoja hawa mabitch wakuvalidate (Hahaha)
ISIS leader venye hizi mabeat nazi terminate (Prrr)
Convict utajuaje nilikuwa Inda miezi mbili 
Izi stori huwezi ka relate (Never)

No wonder si hatufanani hata kidogo (No)
Opwondo bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo (Jabong)
Uliza Kayole Gathee mi ni rasta ni popo
Mi ni hustler Kanairo Whihoko nipate Whatsapp nikichat na Kabogo
Miaka ni thathe na buda yako ananiita fathe
Tukienda Courtiko gathee mi nitakuitia Cartel
Angalia mbulu uniambie ni akina nani wameshikilia makesi (Omollo)

Niko kwa streets na mamita
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende
Niko na biz nasafisha
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe

So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe)
Punguza kasheshe, punguza kassheshe

Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe)
Punguza kasheshe

No smile for the camera and am ever in the right mood
Ask about me in the hood the nigga Khali is a tycoon
Cross me ka haujipendi guaranteed you go die soon
Top rapper though nitakuwa nadanganya nikisema pesa zangu ni za iTunes
Niko Spotify na Boomplay, na bado Deezer selling music Tuesday ni Tuesday

So why are you debating who is paid
Mi nalipwa pande zote nyi bado mnang'ang'ania 2K
Rockafella am the new Jay, Blu Ink ndio label
Usipime tuko juu weigh
Nawakunywa kama cooley 
Punguza kasheshe ama ugeuzwe kichungi for it's too late

Sura ngumu utadhani karumanzira
Ka hupendi majukumu basi gathee vaa mpira
Vile mi hutema moto utadhani Godzilla
And ya'll know there is only one killer

Comprende we don't pretend 
We just pull up your crib when the choppers are loaded
Comprende we don't forgive
We just switch that your brains and I swear you gon love it

Ain't no verses for free nigga work on your budget
Want six on top and there is nothing above it
Going sack I gotta get these demons to stop
They messing my head am crazy believe it or not
These snitches get the stitches is better you flee the cops (Run nigga)
Despite my condition men am still ---

Niko kwa streets na mamita
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende
Niko na biz nasafisha
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe

So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe)

Niko kwa streets na mamita
Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende
Niko na biz nasafisha
Hizo beef mnachachisha ni kasheshe

So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe)
Punguza kasheshe

Ecouter

A Propos de "Punguza Kasheshe "

Album : Punguza Kasheshe (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Blu Ink Corp.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Mar 29 , 2021

Plus de Lyrics de KHALIGRAPH JONES

KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl