KANAIRO Makodiro cover image

Paroles de Makodiro

Paroles de Makodiro Par KANAIRO


Yoh Chrome, what?

Fresh kama cucumber dudu kama kawa
Fresh kama cucumber dudu kama kawa
Rrrraaah! 

(It's Chrome beiby)
A Mainswitch Production

Niko romantic kama movie ya Titanic(Rrrah)
Usipanic leo itakuwa magic
Bad here bad here shie gana iyee
Ndandia ndandia twende iko bie

Bendover bila uoga
Chini ya duvet millitary mi ni soldier
Unapenda yoghurt ama soda
Niko na nguvu ka farasi siwezi choka

Kam hapa, kam hapa beiby gal ushanibamba
Kazi hapa, kazi hapa beiby gal tutachapa
Kam hapa, kam hapa beiby gal ushanibamba
Kazi hapa, kazi hapa beiby gal tutachapa

Aah makudiro, -- biro nyako usiwe hivo
Aah makudiro, fungua ama nitaingia na diro
Aah makudiro, -- biro nyako usiwe hivo
Aah makudiro, fungua ama nitaingia ka dingo

Nimemshow mi nataka sleep over leo
Tuma fare ndo mi nikam over now
Tenje yangu ni ile ya over over bro
Usinitext wacha mi nitakuhalla tu

Send me airtime later ama talk little
Umenidare sana man unanitaka tu
Umezoea kula vitu ndogo ndogo tu
We sio mbweha niko hapa I am hoping tu

Naskia unapenda raw hutaki dem mtaro
Hutaki kitu ikiingia ndani inaogelea
Mi sio Caro mi sio kina Wambo
Sai sina mashiro sa tunaeza ongea

Niko na flesh hapa nyuma iko bouncy jo
Niko na waist ingine noma iko flexible
Yangu si plastic surgery ni natural
Na mimi ni mkali ndio maana naplay that Sharon

I mean virtual, mi ni antisocial
We ndo unataka roho, mi ndio nipate ball

Aah makudiro, -- biro nyako usiwe hivo
Aah makudiro, fungua ama nitaingia na diro
Aah makudiro, -- biro nyako usiwe hivo
Aah makudiro, fungua ama nitaingia ka dingo

Ecouter

A Propos de "Makodiro"

Album : Makodiro (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 We Global Entertainment.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Feb 28 , 2020

Plus de Lyrics de KANAIRO

KANAIRO
KANAIRO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl