Paroles de Kweli
Paroles de Kweli Par JOYCE OMONDI
Jeri, Jeri
Mungu Baba nimeona mkono wako
Nimejawa na furaha na amani
Wanishangaza na yote umenitendea Kweli Baba fadhili zako ni za milele
Kweli kweli eh/oh
Hakuna mpendwa kama wewe
Oh Jeri Mulungu ni muto sana
Mulungu ni muto sana
Wakati wa shida wanifariji ndani yako
Mwokozi wangu kimbilio, mtetezi wangu we
Umeniweza pendo gani hili
Niwe wanje Muye Yesu kweli, yeye yu mwema
Watenda majabu, hakuna kama wewe
Ni wewe mkuu, ni wewe mkuu
Watenda miujiza, hakuna kama wewe
Ni wewe mkuu, ni wewe mkuu
Kweli ni wewe, milele ni wewe tu
Pokea sifa Baba wastahili
Milele ni wewe tu
Nitakuinua, nitakuabudu
Nitakuchezea kwa moyo wangu wote
Yesu malo, pokea sifa malo
Wastahili malo, nakuabudu malo
Malo malo juu juu
Amekutendea mema yo
Amenitendea mema ye
Ecouter
A Propos de "Kweli"
Plus de Lyrics de JOYCE OMONDI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl