Paroles de Turudi Streets
Paroles de Turudi Streets Par JOVIE JOVV
Turudi streets, toka IG
Turudi streets, pete ni silver
Turudi streets, mecca medina
Turudi streets, nyi rapper madivas
Turudi streets, toka IG
Turudi streets, pete ni silver
Turudi streets, mecca medina
Turudi streets, rapper madivas
Kuja streets toka Insta
Mbona bitch anawhisper
Hakuna kitu mi naeza miss
Labda ngoma mpya ya E-Sir
Mara ngapi jo nimeshinda niki insist
Hii ni kazi sio sifa
My niggas love me nikipika
Wanabonga mavi ni mapipa
I am tough like a motherfcker
Let them kmow me but I know them
I call shots idgaf
So I wrote a song for my own fame
Me and paps we don't talk much
But he know son is a grown man
Siku mingi nimefuck up
So nataka fans nyi mniombe
Tabia yangu huwanga mbovu
Wacha niwatombe sasa
Mlishindwa kuniua kwa kovu jo
Mkadai it's for the culture
Pussy niggas thought I told you
Nyi mtapata what you ask for
Nitusi niggas me am old you
Mkiwapata nitawapasha
Bangi ikizidi nawakisha udi
Mizani ni mingi na mi sina budi
Manze jo ni nyinyi mimi nina udi
Na sio siri tunapullup kwa nduthi
Rong brothers ikibidi I approve it
Mtoto ni mrembo na ye huwa groupie
Anavaanga mini bila hio chupi
Lakini mi sipendagi hio bushy
Turudi streets, toka IG
Ulimanga hio bitch na mi nilihit
Ulivuta hio shit ndio maana nimetrip
Manze ulisnitch uliandika list
Dem anafck na Jovie anaonyeshwa madiss
Kama si rap kwa booth namake ma beats
Jovvie napanga missioni na kuzoza ndio form
Dem ananishow ako horny na kut*mbwa ndio analong
Ah tulicatch, ju nilismash
Ka nilihatch nilipata macash
Nilicheki ni slutt mimi nikadash
Nimeseti kishash kama nimekipass (Let's get it)
Let us have leo mamzinga, tuhire madinga
Ni kafala hako kadem
Bado kalimangwa na hakananga mandina
Unaeza nitry hadi kwa rugby
Mi ndio rong rende nitakuzima
Mi ndio plug town Mr Price
Weather ikinyesha utanipata Mama Ngina
Tusimeet ka sijanyanya
Ju sijaichocha kuririma
Am all about kuponana
You know am all about kuponanga
Nilitarajia 12K nikanusurika salasa
Instagram si tunaonanga
Siwezi ngoja kuomoka
Please free Mary Jane
Tangu lini ugeuke ju ya story ni retarded
Mayolo nina cuzo alipatch ATL
Niko Juja na broski ni cracked
Nairobi kuna joto nina jacket
Kuhakikisha wizi za ploti ni perfect
Fala alijidai kuchachisha
Tukamkujia kwao virahisi
Step outside na kibigting
Victims wangequalify for Olympics
Turudi streets, toka IG
Turudi streets, pete ni silver
Turudi streets, mecca medina
Turudi streets, nyi rapper madivas
Turudi streets, toka IG
Turudi streets, pete ni silver
Turudi streets, mecca medina
Turudi streets, rapper madivas
Ecouter
A Propos de "Turudi Streets "
Plus de Lyrics de JOVIE JOVV
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl