JOH MAKINI Simwachii Mungu cover image

Paroles de Simwachii Mungu

Paroles de Simwachii Mungu Par JOH MAKINI


I love what I am doing. A city in da houz
Yeah… Aaah!

Some other people miss the old me
Some other people love the new me
I thank God all these people
They don’t know me yet
Class ni kitaa and they crown me yes
Hata we shetani kunielewa mimi ni bless
Mi sioni mganga wa kuniganga miii
Am on my own lane eh
Am on my own plane

Nadili nasura zao
Zote mbili kila duru
Simwachii mungu
Si aliniumba kwa mfano
Wake basi mi ni nuru
Simwachi mungu
Nadili nasura zote
Mbili kila duru simbachi mungu
Eh
Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
Simwachii mungu

Maana niko naye
Sina cha kuogopa ah
Nami ni mwanae
Kote mi napita ah
Maana niko naye
Sina cha kuogopa ah
Name ni mwanae
Kote mi napita ah

Unkinyonya haki yangu nayostahili
Nasimama kukukabili
Sikusomei albadili
Wala si’endi mahakamani na mawakili
Kanipa juu mamlaka sina fear kabisa
Tuna kila taarifa utajiri maarifa
Mi masihi mwafrika sime si–toshika
Ukinirusha saa sita
Nakumurder saa tisa
Nkikukosa masika
Nakuuzia za vuli
Kama kaka nimekuwa
Kwa madogo kivuli
Shetani kwenye mnada namuuza bei nzuri
Mungu baba anajua huyu mwanangu ki-buri
Nasimama kama moya
Niongezee masifuri
Depo ilikuwa ni daraja mbili si njoo vizuri

Nadili na sura zao
Zote mbili kila duru simwachii mungu
Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
Wimwachi mungu
Nadili nasura zote
Mbili kila duru
Simwachii mungu
Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
Simwachi mungu

Maana niko naye
Sina cha kuogopa ah
Nami ni mwanae
Kote mi napita ah
Maana niko naye
Sina cha kuogopa ah
Nami ni mwanae
Kote mi napita ah

Sipenzi mawazo
Ya kupewapewa
Na ndo mana mi sipendi bure
Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi
Na ndomana joh mi siendi kule
Ili tu mi nile zile chuki zile
Hunijui kivile
Nyani haoni kundule
You kiss ass na mnabaki na dhiki deile
Na misa za kanisa  mko siti za mbele
Ni msasa nakuna kama kuna vipele
Nami sa-sinafichua kama deutsche-welle
Wanasiasa hawamwachii mungu wanajipa madaraka
Nyumba za ibada hazimwachi kukusanya sadaka
Nami simwachi kujitoa uswahilini kwenye taka
Niko vitani kipande cha keki yangu nataka
Am on my own lane
Am on my own plane

Nadili na sura zao zote mbili kila duru
Simwachi mungu
Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
Simwachi mungu
Nadili na sura zao zote mbili kila duru simwachi mungu
Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
Simwachi mungu

Maana niko naye
Sina cha kuogopa ah
Nami ni mwanae
Kote mi napita ah
Maana niko naye
Sina cha kuogopa ah
Nami ni mwanae
Kote mi napita ah

Yeeahhhh….
Yeeahhhh….

Oh niko nae… niko nae…

 

Ecouter

A Propos de "Simwachii Mungu"

Album : Simwachii Mungu (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Afrika Lyrics
Published : Aug 22 , 2018

Plus de Lyrics de JOH MAKINI

JOH MAKINI
JOH MAKINI
JOH MAKINI
JOH MAKINI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl