Paroles de Be Humble
Paroles de Be Humble Par JAPHET ZABRON
Umaarufu
Ulonao utazikwa nao
Utazikwa nao, au kunasiku utauacha
Mapesa pesa heeh
Ulonayo utazikwa nayo
Utajiri wa dunia uzikwe nao
Kunasiku utauacha
Je magari ya kifahari; majumba mzuri unayo yamiliki
Nawaza tu nijue utazikwa nayo
Je utazikwa nayo
Kitu chochote cha dunia kinacho kinakupa kiburi ukose kujishusha
Nawaza tu nijue utazikwa nacho je utazikwa nacho
Je utazikwa nacho
Be humble
Be humble dear brother (haya yaba mwisho)
Heeh (kuna siku utayaacha)
Be humble
Be humble dear believer (yote yana mwisho ipo siku utayaacha)
Nyenyekea nyenyekea
Ndugu mpemdwa, dunia ina mwisho (kuna siku utaiacha)
Nyenyekea nyenyekea
Mpendwa wangu (yote yana mwisho kuna siku utayaacha)
Nikitu gani hasa kinifanye niku sahau mungu
Hata nisione thamani ya yesu wangu hapana hakuna
Kuishi miaka mingi siku zetu wazihesau mungu
Riziki ya mtu pia watukadiria ni wewe bwana
Unifundishe Baba
Kuzi hesabu siku zangu bwana univike wema
Na unyenyekevu
Na jasiri Baba
Wa kunyamaza kimya ya dunia yajapo nishinda
Utaniongoza
Be humble
Be humble dear brother (haya yaba mwisho)
Heeh (kuna siku utayaacha)
Be humble
Be humble dear believer (yote yana mwisho ipo siku utayaacha)
Nyenyekea nyenyekea
Ndugu mpemdwa, dunia ina mwisho (kuna siku utaiacha)
Nyenyekea nyenyekea
Mpendwa wangu (yote yana mwisho kuna siku utayaacha)
Ecouter
A Propos de "Be Humble"
Plus de Lyrics de JAPHET ZABRON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl