
Paroles de Pombe (Above The Head)
Paroles de Pombe (Above The Head) Par IYANII
Kwa majina ni Iyanii (Tunakujua)
Na niko na wimbo (We imba bana)
Hii anthem ni ya walevi
Pigia wako pedi
Washa vela zima fegi
(Alexis on the beat)
Masaa ni ya kumedi
Waka waka..
Pombe! Leta pombe
Pombe! Leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe, leta pombe
Pombe!
Raha najipa mwenyewe
Lleta pombe tulewe
Kila mtu apewe
Tulewe tulewe
Sina doo lakini lazima pombe
Sherehe aibambi bila pombe
Hapa kwa bash tumelewa pombe
Pombe pombe pombe (Pombe pombe pombe)
Shida nikilewa (Pombe)
Nakua muhongo sana (Aki wewe)
Shida nikilewa (Pombe)
Naongea kizungu sana (Ala)
Shida nikilewa pombe
Dem za watu ni warembo sana
Pombe! Leta pombe
Pombe! Leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe, leta pombe
Pombe!
Aya kila mtu awekewe drink basi
We iko wapi tumbla yako? (Ndo hii)
Kila mtu hako na pombe? (Eehh, ye hana)
Kila mtu hako na pombe? (Eehh)
Twende basi..
Above the head (Above the head)
Below the belly (Below the belly)
Across the nipples (Across the nipples)
Smooch those nipples (Mwaah! Mwaah!)
Smooch those nipples (Mwaah! Mwaah!)
Now swaga that baga (Uiii)
Now swaga that baga (Uiii)
Mbinguni hakuna pombe (Oyoyo)
Ndio maana tunakunywa pombe (Oyoyo)
Napenda kwa jug sio kikombe (Oyoyoyo)
Tukunywe tulewe pombe
Pombe! Leta pombe
Pombe! Leta pombe
Siwezi bila pombe
Leta pombe, leta pombe
Pombe!
Ecouter
A Propos de "Pombe (Above The Head)"
Plus de Lyrics de IYANII
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl