Paroles de Friday
...
Paroles de Friday Par IODINE KENYA
Friday Friday Friday Friday
Mchizi wa kitaa jina kubwa mie
Wamama kwa wababa wanijua mie
Wakubwa kwa wadogo Wazee kwa vijana
Wajuzi na waleo Wanipenda sana nananah
Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza
Ngoma zangu zawapendeza
Kila maali zinavuma
Kwenye studio nalala mkesha hii ni bidi sio ndumba
Na mabinti walishanicheka nipo nao now
Kwenye chumbaa
This time a good time, time
Lets have some good time, time
This time a good time
Good time Good time
Its Friday, leo tufurahi
Friday, hatuishi forever
Its Friday, Gin ongeza makali
Friday, Piga zote pepewa
Mwone hata hana kipaji
Walishasemaga maneno
Mungu wetu nae mpaji
Nikapatana na dranno
Mwone hata hana kipaji
Walishasemaga semaga
Mungu wetu nae mpaji
Nikapatana patana
Ona sasa tunatesa whole night club Tunakesha
Tuna pesa bhakresa lugha upgrade To kingereza
This time a good time, time
Let’s have some good time, time
This time a good time
Good time Good time
Its friday, leo tufurahi
Friday, hatuishi forever
Its friday, Gin ongeza makali
Friday, Piga zote pepewa
Ecouter
A Propos de "Friday"
Plus de Lyrics de IODINE KENYA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl