Paroles de Mapenzi Bado
Paroles de Mapenzi Bado Par IANAFRI
Ianafri babeyyy
Listen up
Mapenzi ni tamu sana Nikakupa roho kijana
Ukafanya nikapagawa Lakini sasa najuta
Heyy I was your hero loved you so visimple
I'm in my Shiloh chilling vybing to my pillow
Something that you didn't know we ni
Kombamwiko ulininyima nikapewa na Shiro Cheeeiiii!!!
Wewe sikupi nafasi nyingine Tena aahh
Wewe sikupi nafasi nyingine Tena aahh
Heyyy I'm not alone,you was my corazon
I used to love you you’ll never have me now I'm gone
You live Lavidaloca,you loving sounding proper
You and your lover your fraction must be improper for real
Mpenzi bado Ni nini bado
Mapenzi bado Nini bado Mapenzi bado
Mpenzi bado Ni nini bado
Mapenzi bado Nini bado Mapenzi bado
Siwezi siwezi tena
Kuamini binadamu kama wewe
Uliyenitenda Ukafanya nikakosa maana wewe
Heyyy I'm not alone,you was my corazon
I used to love you, you'll never have me now I'm gone
You live Lavidaloca,you loving sounding proper
You and your lover your fraction must be improper for real
Wewe sikupi nafasi nyingine Tena aahh
Wewe sikupi nafasi nyingine Tena aahh
Mpenzi bado Ni nini bado
Mapenzi bado Nini bado Mapenzi bado
Mpenzi bado Ni nini bado
Mapenzi bado Nini bado Mapenzi bado
Ooh my baby you were dating even Kelly
Ikafikia my daddy Nikakua nimefeli
Ooh my baby if you knew how you were lucky
Hungemess na hizi feelings Tungekua tumemake it
Ooohh My baby my baby my baby (Baby for who)
My baby my baby my baby (Baby for who yeah)
My baby may baby my babyyy (Baby for whhoooo)
You'll get another man who will fall in love for yoo
Cause in my heart there's no other place for yo
Ecouter
A Propos de "Mapenzi Bado"
Plus de Lyrics de IANAFRI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl