Paroles de Sandakalawe (Remix)
Paroles de Sandakalawe (Remix) Par HARMONIZE
Konde boy call me number one
So much money in the bank money
All dem girls call me honey
Only your love can turn me to a mad man
Leo nakuto….totoo nakutoa kwenu uje kwangu
Nina hamu yakuto….totoo kutoa mahali uwe wangu
Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa
Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza
Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza
Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani? (mweupee)
Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe (Yebooo)
----------------
[Busiswa]
----------------
Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto….too kutoa out
Nina hamu ya kuto….too kutoka na wewe (Yebooo)
Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto….too kutoa out
Nina hamu ya kuto….too kutoka na wewe (Yebooo)
Ecouter
A Propos de "Sandakalawe (Remix)"
Plus de lyrics de l'album High School
Plus de Lyrics de HARMONIZE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl