
Paroles de Tumeachana Salama
...
Paroles de Tumeachana Salama Par HANSTONE
wala mi sina kesi naye
Wala mi sina kesi naye
Wala mi sina kesi naye
Alinichoka name nilimchoka Tulichokana
Hatukugombana tuliachana tu kwa usalama
Yeye ana bwana na mimi nina baby mama
Twasalimiana utasema hatuja achana
Wivu utakutoa roho
Mwenzako sina mpango nae
Ndo kwanza nasaka doo
Na kesho kutwa nataka nioe
Nishamuomba na mchango
Ikibidi nawe unichangie
Hasira sio mambo
Fujo za nini utaniua bure
Sasa unakesha ukiniwaza kwanini
Mi na yule tuliachana zamani
Tafadhali ebu tulia chini
Punguza pressure usiniweke akilini
Na tena nimeyabariki mapenzi yenu Mapenzi
Na mkinipa mwaliko nitakuja kwenu Mapenzi
Msiniogope mimi ni ndugu yenyu uuuh
Na mkiwa na njaa basi karibuni menu
Nyumbani salama
Tumeachana salama tu
Salama tumeachana salama
Mi naye salama
Tumeachana salama tu
Salama tumeachana salama tu
Kesho birthday yake kanialika mwenyewe
Kasema kuna mbuzi shisha nikavute nay eye
Na swala ya kumfikisha tajuana na wewe
Ukishindwa utanipisha nitarudi mwenyewe
Nakumbuka tulikula kiapo popote anionako atanisalimia
Anitambulishe kwako niwe ndugu yako
Ndivyo alivyoniapia
Mwenzako ananitumia message
Na najibu ameifollow yangu page
Taratibu mimi ni wako shemeji
Unatia aibu unajichoresha faridi
Na tena nimeyabariki mapenzi yenyu Mapenzi
Na mkinipa mwaliko nitakuja kwenyu Mapenzi
Msiniogope mimi ni ndugu yenyu uuuh
Na mkiwa na njaa basi karibuni menu
Nyumbani salama
Tumeachana salama tu
Salama tumeachana salama
Mi naye salama
Tumeachana salama tu
Salama tumeachana salama tu
Ecouter
A Propos de "Tumeachana Salama"
Plus de Lyrics de HANSTONE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl