Paroles de Maisha Marefu
Paroles de Maisha Marefu Par GILAD
Inasemekana every cloud has a silver lining
though I try I don't know where it's hiding
I wish you well, nakutakia maisha marefu
one door closes and another opens
having a hard time I'm still hoping
I wish you well, nakutakia maisha marefu
And don't go changing to much
Bado nakupenda kama mwanzo
Umenijazz umenijaza mawazo
Just put your hand kwenye mkono wangu
Unipe nafasi, unipe nafasi
Nitabadilika I swear
Put your hands kwenye mkono wangu
Unipe nafasi, unipe nafasi
Nitabadilika I swear
Every coin has another side
All you gotta do is enjoy the ride
And I wish you well, nakutakia maisha marefu
If doesn't kill you it'll make you stronger
All I want is a little bit longer
I wish you well, nakutakia maisha marefu
And don't go changing to much
Bado nakupenda kama mwanzo
Umenijazz umenijaza mawazo
Just put your hands kwenye mkono wangu
Unipe nafasi, unipe nafasi
Nitabadilika I swear
Put your hands kwenye mkono wangu
Unipe nafasi, unipe nafasi
Nitabadilika I swear
I swear I swear
Nikudekezee kwenye ulimbo wamoyo
Nikuliwaze unapokabwa kiroho
Nieleze yanayokupa vikwazo
Wee ni wangu toka mwanzo
Don't let go
Just put your hands kwenye mkono wangu
Unipe nafasi, unipe nafasi
Nitabadilika I swear, I swear
Nitabadilika I swear
Ecouter
A Propos de "Maisha Marefu"
Plus de Lyrics de GILAD
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl