Paroles de Pendeni
Paroles de Pendeni Par FOBY
Nimejaribu kukuonesha upendo
Hata huguswi
Unanipa tabu na makwazo
Mana hutulii
Na mbona mwenyewe unajua
Kama si wewe mi siwezi kabisa
Ila kwa ninayo yaona haya
Basi ngoja nijaribu kujipenda mi mwenyewe
Nna maana
Huduma zote nilizokuwa nakupa
Acha nijihudumie
Nipo radhi kigongeo kukatwa
Ila nisikurudie
Baby maneno
Yanatafuna moyo
Baby maneno
Pendeni
pendeni
Pendeni
Mi nimekoma
Lulu,Wema,Mobbeto
Pendeni Kajala
Pendeni Kidoti
Pendeni
Mi nimekoma
Nilijitahidi upate unachohitaji
Japo si kingi ila kwa uwezo kilifaa
Kumbe ni mrembeshi mzuri
Mfano wa dibaji
Utazama ndani
Kwa nje kulivyorembwa
Naondoka mapema
Nachelew kurudi
Mwenzangu umelala
Haujui mateso
Nikirudi nimekosa
Nawekwa kangani
Mwenzangu huruma
Hujapewa kabisa
Baby maneno
Yanatafuna moyo
Baby maneno
Baby maneno
Yanatafuna moyo
Baby maneno
Pendeni Uwoya
Pendeni Jack Wolper
Pendeni Mi nimekoma
Shishi,Gigy,Vanessa
Pendeni tunda
Pendeni Dada Jidee
Pendeni Mi nimekoma
Aika na nahreel
Pendeni
Pendeni
Pendeni Mi nimekoma
Moyo wangu Umekuwa
kama Jalala la maumivu
Yanayohusu mapenzi
Na ndo mana nimekoma
Nyie pendeni Miki sitaki
Ecouter
A Propos de "Pendeni"
Plus de Lyrics de FOBY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl