FID Q Wivu cover image

Paroles de Wivu

Paroles de Wivu Par FID Q


Ninakuomba unitoe wasi.. uniepushe na haya maumivu
kidume nijinafasi.. usiniangushe kuwa msikivu
ushanishika hawanipati...mie kwako ni mtulivu
Wakikuita waambie hautaki sababu baby mie nina wivu

Sipendi kuwaona wakikuita
Sipendi kukuona ukiitika
Vile umenona wanapita wanalaiki mapicha huko insta
Hashtag pisikali pisikali unatrend huko Twitter
Hawataki nijivinjari nawe pisikali bila shida
Mitaani mwendo wa maringo wanavunja mashingo wanadata wanahusudu
Bahati ya mwenzio usiilalie milango wazi utang’atwa na umbu
Na sijali wakisema umenilisha limbwata ni vyema ungenipa na juju
Kwangu hata mkwanja ukitaka ninakata tu fasta  hapa haujafuata tu dudu
Ni wazi umeniteka..umenishika..nilibeti na mkeka haujauchana
Wakileta mapresha itanitesa nitawapiga tutakwenda kijeshi mama
Wanatoatoa macho...kodo.. badala ya ku-hustle wawe mafogo
wanakoma na wako huo mgongo
ninakushika hapo hapo kwa mikogo
Na ninakupa showshow
haina utozi haina udwanzi haina gozi haina ganzi haina
chozi wewe ndio wangu manzi.. njoo
Usije slow kama advance ya promota aliyekosa imani ya nani mtaani anatisha..nooh
usinifananishe na yule fala flani bora uiachane hiyo picha
na ukanda una msaada gani zaidi ya ushamba tu kwa kichwa
Mimi nawabamba Kama hivi.. na ninatamba Kama hivi
Siuzi famba.. ukiniganda sintotangatanga mchizi
Sipendi wakisema nina bahati kuwa nawe.. waniache niwe nawe
Wanaosema nina bahati kuwa nawe ni wazi hawataki niwe nawe
Ya kwamba ni kismati kuwa nawe sistahiki kuwa nawe ?sistahiki kuwa nawe
Unayenufanya niwe happy niwe msafi nikuache.. wanataka nipagawe  

Ooh no.. tuko pamoja toka long time
Na mie nina wivu baby cant lie
Mie nina wivu.. na mie kukuacha bado no noo
Ooh no.. tuko pamoja toka long time
Na mie nina wivu baby cant lie
Mie nina wivu.. na mie kukuacha bado no noo
Na siku tu ukisema bye
Utaniumiza medula
Wakikuta sema no
Baby be my love
Milele utakua nami yaani milele bila hofu
Ooh no.. tuko pamoja toka long time
Na mie nina WIVU baby can’t lie
Mie nina WIVU.. na mie kukuacha bado no noo

Ecouter

A Propos de "Wivu"

Album : Wivu (Single)
Année de Sortie : 2021
Ajouté par : Farida
Published : Dec 01 , 2021

Plus de Lyrics de FID Q

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl