Paroles de Nyokonyoko
Paroles de Nyokonyoko Par FEMI ONE
Ero unanisoma ju nina rungu ya jamii
Hapo si unajua nakuchorea mami
Hakuna haja ya cancer hapa moshi ni manduku
Tupu nazitoka bana za athuthu
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah
Nyokonyoko, Nyokonyoko weee
Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai
Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
Wanjiku amejipaka wanja
Jicho peptang juu ya kiganja
Macookie na makeki za kibanda
Na mifuko zimeshona tu na mabanda
Exhibit zimejificha kwa mbosho
Na marubber after kuchipo si ni kuthosho
Barter trade si nilifikaga na vidosho
Rombosaga maana kesho huku ni kegocho
Alafu X-ray mkiingia nawascan
Kikishika kikolo kipitishe what a gwan
Ka hukufunzwa buda na mathako utalearn
Mbogi inachachisha makombora za Saddam
Oya oya eeh, oya oya aah
Uber nganya pandisia bodaboda eeh
Muko local mi Busia bodaboda aah
Eti muko local mi Busia bodaboda eeh eeh eh
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah
Nyokonyoko, Nyokonyoko weee
Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai
Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
Ng'ora ng'ora nikucheze kama thing'oi
Ukiseswa ka umetokwa chungia nukia kinyoi
Nikulambi nikuchimbe mmh kama gefoi
Msupa afunge duka aende anireplace na kitoy
Ahh juu ya kutu si ameshika mbiro
Juu ya rungu si atatoka mbio
We ndio jiko na unachezea diro
Una maroll aii, mi nachezea kilo
Ju we ni smarta nitakuchezea kio
Nina ofisi kuja nikuweke C.E.O
Uko fifty mi nakuwekea kioo
Mwongozano, mtongozano mmmh
Mkutano nichezee bano mmmh
Niko bale, niko ngano mmmh
Nina ngori ka Kogalo mmmh
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah
Nyokonyoko, Nyokonyoko weee
Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai
Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
My girl ga, amegaragaza
Chora saba wacha mi nidare rasa
Shake legi seti tu kipasapasa
Mbogi ni ya Kangundo si ya kule gaza
Super kamba kila aina ya gengetoni
We ni kuonanga town mpekedoni
Dj Lyta anawakata kipema peponi
Na bado si wanatu dare na maingwe thoni
Aah, Odi jina kubwa kama turi ya Vera
Sidika walai huku nadai hela
Hii mboko si free ka za wale mafathela
Manjoti hadi utii nilikuwa kamagera
Pedi wangu huenda mjei mpaka Jericho
Na hizi ng'ango ni za wimbi za huko Mexico
Na pale Dago ndo mi huendea mapetco
Kando ya Pango ndo nilifinyaga Rachel
Ecouter
A Propos de "Nyokonyoko"
Plus de Lyrics de FEMI ONE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl