Paroles de Yule
Paroles de Yule Par ELANI
Nah nah nah nah nah
Yeah yeah yeah yeah
Ni yule yule yule yule
Ni yule yule yule yule
Mi siwezi pigana ndondi
Nilivyoumbwa
Mwili wangu ni wa mapenzi
Na sijui kung'ang'ania
Kilicho changu
Mwishowe kitanirudia
Kaa ukijua ninakupenda
Kaa ukijua ninakuota
Kaa ukijua kuwaza kuwaza
Kaa ukijua ninakupenda
Kaa ukijua ninakuota
Kaa ukijua kuwaza kuwaza
Yuko wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Wapi kama yule
Kama yule
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Yu wapi kama yule
Kama yule
Moyo wangu aah..
Moyo tulia aah aah
Baby when I think of you
Baby when I think of I'm into you
We wanipa wazimu
You know that I'm missing you
Baby when I think of you
Baby when I think of I'm into you
Boy wanipa wazimu
You know that I'm missing you
Ninakupenda
Babe we wajua ninakuota
Wewe ndiwe dawa yangu
Kuwaza kuwaza (Mi nakuwaza)
Ninakupenda
Babe we wajua ninakuota
Wewe ndiwe penzi yangu
Kuwaza kuwaza (Mi nakuwaza)
Yuko wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Wapi kama yule
Kama yule
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Yu wapi kama yule
Kama yule
Moyo wangu aah..
Moyo tulia aah aah
Moyo wangu aah..
Moyo tulia aah aah
Yuko wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Wapi kama yule
Kama yule
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Wapi kama yule
Kama yule
Moyo tulia
Ecouter
A Propos de "Yule "
Plus de lyrics de l'album Colours of Love
Plus de Lyrics de ELANI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl