Paroles de Ashura
Paroles de Ashura Par EASY MAN
Aaaaashuuraaaaaa
Umenikumbusha zamani
Tena zamani Sanaa
Eyoo Kenny
Ashura umenikumbusha zamani
Anacheza mdako barazani
Mikombolela uwanjani
Kujificha ni vichakani
Ashura amenida kichochoroni
Akasema yote yangu mimi
Kawanyima kina shabani
Eti nile nisimpe athumani
Kibaba baba mimi ndio baba yao
Ashura ndio mama yao
Wakuda ikala kwao
Napenzi letu limeishi mpaka leo
Mi naucheza mziki wa nyumbani mama
Ashura kaelewa show
Mi naucheza mziki wa nyumbani jamani
Ashura kaelewa show
Mi naucheza mziki wa nyumbani mama
Ashura kaelewa show
Mi naucheza mziki wa nyumbani jamani
Ashura kaelewa show
Eh kha ha ha
Onaa akiinama anakata akiinuka anakata
Kata mama kata cheza kibao kata
Akiinama anakata, akiinuka anakata
Kata mama kata, cheza kibao kata
Naitwa maarifa
Tumekuwa wakubwa tushaupita utoto
Natembea peku wananiita mpoto
Tunaishi kibosi, nishauficha msoto
Nilianzia matandu, nishaufikia ukoko
Bucher akiniachia
Kucha nasimamia
Ashura ananiambia, ananiaminia
Nampa yote mwiba, utoka ulipoingilia
Mmh kha, mmh kha sawa
Waliomba tukwame, ila tupo sawa
Acha jua lizame, mie nipo sawa
Shida zinapita, sie tudo sawa
Maana misukosuko, ndio mwendo wa ngalawa
Kibaba baba mimi ndio baba yao
Ashura ndio mama yao
Wakuda ikala kwao
Napenzi letu limeishi mpaka leo
Mi naucheza mziki wa nyumbani mama
Ashura kaelewa show
Mi naucheza mziki wa nyumbani jamani
Ashura kaelewa show
Mi naucheza mziki wa nyumbani mama
Ashura kaelewa show
Mi naucheza mziki wa nyumbani jamani
Ashura kaelewa show
(Aah ma used)
Mwanbie mudi brand mkubwa hapangwi
Siaga baba
Wanaacha kulala kitandani, wanaenda kulalamika waone wale
Othmani kaungu
Wasalimie Dubai
Eyoo Kenny
Unyamaa, unaambiwa eeh
Mchawi karogwa, karogezewa kuroga
Naitwa maarifa
Kibaha finest
Mtoto wa baba
Aah salum makabrasha
Kisitu Empire
Aah redo boy
Sound from the unique
Ecouter
A Propos de "Ashura "
Plus de Lyrics de EASY MAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl