Paroles de Suzanna (Njuguna parody)
Paroles de Suzanna (Njuguna parody) Par DOGO CHARLIE
We njuguna sitaki bibi na
Ulinichocha huyo madam ni ka sponsor
Njuguna sitaki bibi na
Ni ujinga ni ufala everyday kugombana
Nachongaga waru
Bibi naye anajipodoa manzee
Nikiuliza ananiambia eti yeyeye
None of my business
Tena siku hizi nakonda
Sili kama zamani
Fanya mpango utume fare
Sitakula fare
Njuguna my friend, nisave fare nirudi home
Sikukuja kuolewa narudi kwetu
Nisave fare nirudi home
Nimekaliwa chapo somebody help me
Morio nimekaliwa ni kama nimeolewa
Nguo zake ni mimi nafua chakula pia napika
Vyombo namuoshea duka pia natumwa
Nyumba yake nime mng’arishia na bado nanyimwa chakula
Nikiwasha TV, hapo hapo kutukanwa woii
Siongezewi hata mchele Njugush, none of her business
Hapa hakuna ujanja nitatoroka mchana
Fanya mpango utume fare sitakula fare
Njuguna my friend, nisave fare nirudi home
Sikukuja kuolewa narudi kwetu
Nisave fare nirudi home
Nimekaliwa chapo somebody help me
We nichangie ukipata mia mbili sababu ntazirudisha
We nichangie sikuli sishibi mwenzako ninakufa njaa
Tuma fare nikuje fare siwezi kula
Mjengo mi nitafanya kuliko mimi kuolewa
We nichangie ukipata mia mbili sababu ntazirudisha
We nichangie sikuli sishibi mwenzako ninakufa njaa
Tuma fare nikuje fare siwezi kula
Mjengo mi nitafanya kuliko mimi kuolewa
Njuguna my friend, nisave fare nirudi home
Sikukuja kuolewa narudi kwetu
Nisave fare nirudi home
Nimekaliwa chapo somebody help me
Ecouter
A Propos de "Suzanna (Njuguna parody)"
Plus de Lyrics de DOGO CHARLIE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl