Paroles de Kalale Parody (Kojoa Ulale )
Paroles de Kalale Parody (Kojoa Ulale ) Par DOGO CHARLIE
Leo hakuna kudoz kwa kitanda
Nimewasoma mnaniona mjinga
Hapa Tao sio mi niliwaleta
Kwanza kesho mjengo mtaenda
Tusibishane buda hapa ni kwangu
Nawalisha daily na matumbo biggy
Kwanza wewe morio mwenye kichwa biggy
Kesho uende tao ukatafute kazi
Kojoa ulale, unaninyima maharagwe
Kojoa ulale, si tukule kwanza ndo tulale
Kojoa ulale, niko na njaa mingi tukule
Kojoa ulale aaiii
Buda buda nyonga monkey
Nyonga monkey juu hunisaidii
Ka ni nyumba hunilipii
Hata vyombo hunioshei
Buda buda kojoa ulale
Kojoa ulale, unaninyima maharagwe
Kojoa ulale, si tukule kwanza ndo tulale
Kojoa ulale, niko na njaa mingi tukule
Kojoa ulale aaiii
Hapa kwa nyumba kile imebaki ni kuwafukuza tu
Sababu hamnijengi mnaniangamiza tu
Hamuogi mnanuka makwapa na mguu
Kwanza mliniibia ngotha yangu ya blue
We juzi umelewa ukadoz kwa mtaro
Papa God si ufundishe hawa watu wako
Wameniletea mashida kila siku ni keroro
Ugali nikisonga wanadai ni kidogo
One week to come landlordi atakam
Na pesa hazitoshi nyinyi hapa mnakaa
Siwezi kuwapunish kwa sababu mmefyatu
Lakini food yangu itabidi mmehata
Buda buda nyonga monkey
Nyonga monkey juu hunisaidii
Ka ni nyumba hunilipii
Hata vyombo hunioshei
Buda buda kojoa ulale
Kojoa ulale, unaninyima maharagwe
Kojoa ulale, si tukule kwanza ndo tulale
Kojoa ulale, niko na njaa mingi tukule
Kojoa ulale aaiii
Ka tubongi rent ni upuzi
Mnanitegemea nyi mambuzi
Kojoeni mlale
Najinyc sababu niko kwa bedi
Ah sikukatazi kulala
Kojoa ulale roho safi
Kevo Kevo, chunga tusikosane Kevo
Sipendi vile nawaweka, aah
Nawalipia nyumba kwangu wanaume
Mkimaliza kukojoa mlale
Buda buda nyonga monkey
Nyonga monkey juu hunisaidii
Ka ni nyumba hunilipii
Hata vyombo hunioshei
Buda buda kojoa ulale
Kojoa ulale, unaninyima maharagwe
Kojoa ulale, si tukule kwanza ndo tulale
Kojoa ulale, niko na njaa mingi tukule
Kojoa ulale aaiii
Ecouter
A Propos de "Kalale Parody (Kojoa Ulale )"
Plus de Lyrics de DOGO CHARLIE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl